Mimi nipo tayari kuoa mwanamke mwenye miaka 35 lakini awe singo ambaye hana mtoto au watoto. Mwenye mtoto tayari hiyo ni changamoto, yaani unanunua kiwanja tayari chenye mgogoro.Wakuu
Salaamu,naomba kuuliza tu mfano wewe umekutana na Binti wa miaka 35,mwenye watoto wawili baba tofauti,unaweza oa mwanamke wa dizaini hii?
Ni piss ya kwenda,mpambanaji but kasoro ni hiyo tu,
Jibu hoja unaweza hauwezi?Ni jambo la kusubiri na kukuona.
Shemeji kweli unataka kunitupa hapo😢😢Mwanangu unataka umchukue mke wangu? Mfano gani huo wewe size yako shemeji yangu huyu Binti Sayuni03 Anastasia21
😁😁😁huyu mtaka yote kwa pupaSekretari ndege unasemaje? Hivi wadau humu mnauchu sana eeeh... Sweetheart Anastasia21 njoo tuondoe utata hapa mwingine na pia Shemeji Binti Sayuni03 una utani na huyu sekretari ndege?
Shindwa pepo😁😁Hahaha 😂 hao huwatakuelewa maana nimeshawalewesha kwa mautamu.
Hawabanduki ng'o!
Huu siyo ujumbe wangu aisee mimi bado binti mbichi kabisa😁😁Binti Sayuni03 kuna ujumbe wako huku
Unaoa mwanamke au unaoa hayo mapambano yake?Wakuu
Salaamu,naomba kuuliza tu mfano wewe umekutana na Binti wa miaka 35,mwenye watoto wawili baba tofauti,unaweza oa mwanamke wa dizaini hii?
Ni piss ya kwenda,mpambanaji but kasoro ni hiyo tu,
Inashangaza kwa kweliKwanza unaoaje mwanamke mwenye mtoto?
Kweli kabisa na mfano mzuri kabisa wa simp ni Asap Rock. Baada ya Rihana kutumia late 10's na 20's yake yote na badboys kama wakina criss brown na drake, alipofika 30's kashtuka akaji-submit kwa kijana mdogo ambae amemzidi kila kitu. Asap rocky ni simp na nina uhakika kabisa tukirudi nyuma wakati Rihana ana miaka 22 angekutana na Asap Rocky angemuona kama takataka tu. Kwa ukaribu namfananisha Asap rocky na mtoa madaThanks na haya ndio mawazo ya kiume kutoka kwa mwanaume anayetambua thamani yake na thamani ya mwanamke kwenye soko la mahusiano....!!
Thamani ya mwanamke inajengwa na vitu kama purity/less body counts,less sexual experience,high ability to bond and subservience.... na hivi vitu utavikuta kwa mwanamke mwenye umri chini ya miaka 24...
Thamani ya mwanamke kwenye mahusiano sio pesa zake au spirit yake ya upambanaji kama simps wanavyofikiri..!! Unless kwa mwanaume anayependa kulelewa/kuolewa na mishangazi ndio atamthaminjsha mwanamke kwa vigezo hivyo.
Dogo ukimuona huwez amini kama ana 30+,ni chuma hasa na anajua kujitunza,hata k yake utazani ni bikraYeye ndo kakuambia kuwa ni binti, au akili zako ndo zinamwona miaka 35 ni binti...
Mbichi una miaka 8/9 au?Huu siyo ujumbe wangu aisee mimi bado binti mbichi kabisa😁😁
Mbichi bado sijazaaMbichi una miaka 8/9 au?