Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 40,527
- 69,429
Hii ndio pointiMwisho!
Rais wangu ni Tundu Lissu.
Hii ndio pointiMwisho!
Rais wangu ni Tundu Lissu.
Emma mbishi ana misimamo.Alimkazia Kikwete wakati wa sekeseke la Lowasa.Magu akaona isiwe tabu - peleka Brazil huko.2030 ni mbali kidogo.
Tutaona mengi.
Ila Emma ni mpole machoni, nyuma ya pazia ana watu wake na mtandao wake.
Magufuli aliona mbali ndio maana akamtupa Brazil na kumfungia asigombee uongoz ndan ya CCM kwa miaka 4. 2017-2021.
Hiki kinachoendelea kinafaa kutengenezewa movie... ingeingiza pesa ndefu balaa! Ingeitwa BLACK SHORT FAT MAN FROM MALAWI VS BIG LADY WITH USHUNGI FROM ZIMBABWE AGAINST DEMON WITH SMALL MUSTACHI OF ALIZETI FARM.Unaweza ukahisi ni habari za kutunga, au wale wenzangu na mimi wanasema ni 'drama' za CCM...
Au na Polepole alikuwa anafanya drama?
Anyway!
Huu mtanange una sura nyingi na inabidi utulize kichwa kwelijweli. Ondoa hisia na mihemko ya kisiasa, kiimani na ushabiki wa aina nyingine.
1. Kuna sura ya mbio za Urais; Mngoni vs Mnyeramba
Mweusi anachagua njia ya 'kushawishi na kupendwa na watu' ndio maana kauli zake ni Katiba mpya, Haki, Umoja wa kitaifa...akiamini ndio njia itakayompa nguvu dhidi ya washindani wake.
Mnyeramba anachagua njia ya kutawala kwa mtindo uliopo. Kuendeleza ubabe, kulazimisha madaraka kwa njia yoyote bila kujali watu wanasema nini au wanataka nini. Mnyeramba ni mtoto wa utawala uliopo na anataka hali ibaki hivyo. Ndio maana hutamsikia akizungumza maneno kama Katiba Mpya, na hawezi kutamka hadharani kupinga matukio ya utekaji na kuumiza wapinzani, kwa sababu hayo ni sehemu ya 'Modus Operandi' ya utawala uliopo.
2. Ukatoliki vs Ulutheri
Katiba haisemi Rais anatakiwa awe wa dini gani. Lakini kuna utamaduni akitoka Mkristo anafuata Muislam. Marais wote wakristo wamekuwa Wakatoliki; Nyerere, Mkapa, JPM. Na wote wameshakufa. Mnyeramba anaamini ni zamu ya Wakristo - Walutheri, baada ya Rais Muislam kustaafu. Zipo jitihada kadhaa zimefanywa ndani ya Kanisa na wanasiasa wa kilutheri. Waliofuatilia kwa jicho la kijasusi uchaguzi wa Askofu Mkuu wa KKKT wanafahamu vema picha ilivyo. Na baadhi ya viomgozi wa KKKT wamekuwa na mahusiano mazuri na utawala uliopo, na hata kusababisha mgogoro ndani ya Kanisa. Wapo pia wanasiasa wakubwa, wakiwemo wa upinzani, ambao ni waumini wa KKKT wanaounga mkono juhudi za Myeramba.
Kwa upande wake mngoni, yeye ni mtoto pendwa wa Kanisa Katoliki. Baadhi ya matamko yake amekuwa akiyatoa akiwa Kanisani. Na matamko hayo yanafanana na matamako ya mapadre na maaskofu wa kanisa Katoliki; Key Words; Haki, Uwajibikaji.
Kwa kukazia hisia za udini katika mbio za urais, Mngoni amewahi kusema; hatuhitaji Rais Mkatoliki au Mlutheri, au Muislam. Akimaanisha tunahitaji Rais anayefaa kwa Watanzania wote.
3. Umakamu vs Uwaziri Mkuu.
Kwa utamaduni wa CCM sio Rais kwa Makamu au Waziri Mkuu kuwa Rais.
Lakini Makamu yupo karibu zaidi na Urais kuliko Waziri Mkuu.
Hata hivyo, Mngoni anajua; akisubiri 2030 kibarua kitakuwa kigumu kwa sababu utawala uliopo una nafasi kubwa ya ya kuteua mgombea, ambaye hawezi kuwa yeye kwa sababu ya tofauti zilizopo na zisizorekebika. Vilevile, Mnyeramba ana nguvu kubwa ya pesa alizoiba kwa miaka mingi akiwa serikalini na chamani. Kwa asili ya wajumbe wa CCM, pesa ndio inaamua.
Kwahiyo, Karata kubwa ya Mngoni ni kuwa Rais wa kurithi. Hiyo ndio njia ya haraka kwake, lakini ngumu kwelikweli. Je! Tamaa ya Urais ya Mngoni ni kubwa kiasi cha kuchagua njia yoyote ile, au ni mtu aliyejiwekea mipaka ambayo hawezi kuvuka? Hapo sijui chochote.
4. Uungwaji mkono ndani ya CCM na dola.
CCM imegawanyika, na dola limegawanyika.
Mngoni anaungwa mkono na wazee wa Nyerere, na wanasiasa waliopoteza ulaji wakati huu, ambao pia humuona Rais aliye madarakani, '.hana uwezo wa kuongoza nchi'. Mnyeramba anaungwa mkono na watawala, vijana wake na marafiki zake (wale wanosema 'thi' badala ya 'si' ) wenye maono yanayofanana. Yakiwemo maono ya kuumiza watu kwa sababu ya fedha na madaraka.
Huko kwenye vyombo vya dola tunahitaji muda zaidi..
Mwisho!
Rais wangu ni Tundu Lissu.
Nawasilisha!
Dr. Christopher CyriloView attachment 3644312View attachment 3644313
Wee kila wakati upo upande wa mazoba.Naona Watu Mnahangaika sana kutaka Kujaribu kumchafua Mheshimiwa Waziri Mkuu Wetu Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr CLEAN Baada ya kugundua kuwa anakubalika ,kupendwa na kuaminika sana kwa watanzania kutokana na uchapakazi wake na uadilifu alionao.
Najua mnashikwa na kiwewe na kuweweseka baada ya kugundua ni kipenzi cha Vijana wote ambao ndio kundi kubwa la watanzania lakini siyo tu kwa Vijana bali kwa Makundi yote Ya kijamii Mheshimiwa Daktari Mwigulu Nchemba ameteka mioyo yao kutokana na namna alivyogusa Maisha yao na kazi kubwa ambayo amekuwa akiifanya ya kutatua kero za wananchi kila kona ya Taifa hili.
Najua mmeshajua na kuona nguvu kubwa ya ushawishi aliyonayo kwa sasa na namna alivyo acha alama njema katika mioyo ya wengi
Hata hivyo napenda kuwaambieni ya kuwa hakuna atakayeweza kumshusha wala kumchafua Mr CLEAN ambaye watanzania wote wanajua na kutambua uadilifu wake na Uzalendo mkubwa alionao kwa Taifa hili .
Hapa ndipo tunasema wapinzani wa nchi hawana Agenda ya kudumu kuleta mabadiliko ya hii nchi si kwa mawazo ya kutengenezewa kama hayo, Hakuna ugomvi wala hizo drama kati ya hao uliowataja zaidi ya kuwapumbaza tu.Unaweza ukahisi ni habari za kutunga, au wale wenzangu na mimi wanasema ni 'drama' za CCM...
Au na Polepole alikuwa anafanya drama?
Anyway!
Huu mtanange una sura nyingi na inabidi utulize kichwa kwelijweli. Ondoa hisia na mihemko ya kisiasa, kiimani na ushabiki wa aina nyingine.
1. Kuna sura ya mbio za Urais; Mngoni vs Mnyeramba
Mweusi anachagua njia ya 'kushawishi na kupendwa na watu' ndio maana kauli zake ni Katiba mpya, Haki, Umoja wa kitaifa...akiamini ndio njia itakayompa nguvu dhidi ya washindani wake.
Mnyeramba anachagua njia ya kutawala kwa mtindo uliopo. Kuendeleza ubabe, kulazimisha madaraka kwa njia yoyote bila kujali watu wanasema nini au wanataka nini. Mnyeramba ni mtoto wa utawala uliopo na anataka hali ibaki hivyo. Ndio maana hutamsikia akizungumza maneno kama Katiba Mpya, na hawezi kutamka hadharani kupinga matukio ya utekaji na kuumiza wapinzani, kwa sababu hayo ni sehemu ya 'Modus Operandi' ya utawala uliopo.
2. Ukatoliki vs Ulutheri
Katiba haisemi Rais anatakiwa awe wa dini gani. Lakini kuna utamaduni akitoka Mkristo anafuata Muislam. Marais wote wakristo wamekuwa Wakatoliki; Nyerere, Mkapa, JPM. Na wote wameshakufa. Mnyeramba anaamini ni zamu ya Wakristo - Walutheri, baada ya Rais Muislam kustaafu. Zipo jitihada kadhaa zimefanywa ndani ya Kanisa na wanasiasa wa kilutheri. Waliofuatilia kwa jicho la kijasusi uchaguzi wa Askofu Mkuu wa KKKT wanafahamu vema picha ilivyo. Na baadhi ya viomgozi wa KKKT wamekuwa na mahusiano mazuri na utawala uliopo, na hata kusababisha mgogoro ndani ya Kanisa. Wapo pia wanasiasa wakubwa, wakiwemo wa upinzani, ambao ni waumini wa KKKT wanaounga mkono juhudi za Myeramba.
Kwa upande wake mngoni, yeye ni mtoto pendwa wa Kanisa Katoliki. Baadhi ya matamko yake amekuwa akiyatoa akiwa Kanisani. Na matamko hayo yanafanana na matamako ya mapadre na maaskofu wa kanisa Katoliki; Key Words; Haki, Uwajibikaji.
Kwa kukazia hisia za udini katika mbio za urais, Mngoni amewahi kusema; hatuhitaji Rais Mkatoliki au Mlutheri, au Muislam. Akimaanisha tunahitaji Rais anayefaa kwa Watanzania wote.
3. Umakamu vs Uwaziri Mkuu.
Kwa utamaduni wa CCM sio Rais kwa Makamu au Waziri Mkuu kuwa Rais.
Lakini Makamu yupo karibu zaidi na Urais kuliko Waziri Mkuu.
Hata hivyo, Mngoni anajua; akisubiri 2030 kibarua kitakuwa kigumu kwa sababu utawala uliopo una nafasi kubwa ya ya kuteua mgombea, ambaye hawezi kuwa yeye kwa sababu ya tofauti zilizopo na zisizorekebika. Vilevile, Mnyeramba ana nguvu kubwa ya pesa alizoiba kwa miaka mingi akiwa serikalini na chamani. Kwa asili ya wajumbe wa CCM, pesa ndio inaamua.
Kwahiyo, Karata kubwa ya Mngoni ni kuwa Rais wa kurithi. Hiyo ndio njia ya haraka kwake, lakini ngumu kwelikweli. Je! Tamaa ya Urais ya Mngoni ni kubwa kiasi cha kuchagua njia yoyote ile, au ni mtu aliyejiwekea mipaka ambayo hawezi kuvuka? Hapo sijui chochote.
4. Uungwaji mkono ndani ya CCM na dola.
CCM imegawanyika, na dola limegawanyika.
Mngoni anaungwa mkono na wazee wa Nyerere, na wanasiasa waliopoteza ulaji wakati huu, ambao pia humuona Rais aliye madarakani, '.hana uwezo wa kuongoza nchi'. Mnyeramba anaungwa mkono na watawala, vijana wake na marafiki zake (wale wanosema 'thi' badala ya 'si' ) wenye maono yanayofanana. Yakiwemo maono ya kuumiza watu kwa sababu ya fedha na madaraka.
Huko kwenye vyombo vya dola tunahitaji muda zaidi..
Mwisho!
Rais wangu ni Tundu Lissu.
Nawasilisha!
Dr. Christopher CyriloView attachment 3644312View attachment 3644313
Kwahiyo umemwita Lucas Mwashambwa mganga wa Kienyeji?.epuka kuwaskiliza na kuwaamini wanganga wa kienyeji na itapendeza zaidi gentleman 🐒
Watu wanajipanga wewe unaleta mambo ya wakulima tena, Power is not given it's earnedIla yule jamaa roma anakipaji.... Kwenye ngoma yake moja alisema "wakishapewa madaraka wanawaza uchaguzi ujao" wala hawamlindi/kumtetea mkulima na mazao""
Shenzi kabisa mwaka mmoja kuwatumikia wananch miaka minne kuwaza uchaguzi ujao
Aliyekufanya ukawa shoga hakukosea...Naona Watu Mnahangaika sana kutaka Kujaribu kumchafua Mheshimiwa Waziri Mkuu Wetu Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr CLEAN Baada ya kugundua kuwa anakubalika ,kupendwa na kuaminika sana kwa watanzania kutokana na uchapakazi wake na uadilifu alionao.
Najua mnashikwa na kiwewe na kuweweseka baada ya kugundua ni kipenzi cha Vijana wote ambao ndio kundi kubwa la watanzania lakini siyo tu kwa Vijana bali kwa Makundi yote Ya kijamii Mheshimiwa Daktari Mwigulu Nchemba ameteka mioyo yao kutokana na namna alivyogusa Maisha yao na kazi kubwa ambayo amekuwa akiifanya ya kutatua kero za wananchi kila kona ya Taifa hili.
Najua mmeshajua na kuona nguvu kubwa ya ushawishi aliyonayo kwa sasa na namna alivyo acha alama njema katika mioyo ya wengi
Hata hivyo napenda kuwaambieni ya kuwa hakuna atakayeweza kumshusha wala kumchafua Mr CLEAN ambaye watanzania wote wanajua na kutambua uadilifu wake na Uzalendo mkubwa alionao kwa Taifa hili .
Mngoni anajua aliye muweka hapo na hiyo bila shaka ni kete ya Mzee wa Msoga ili kumvunja nguvu huko 2030 kadhalika kwa Mr Guys Guys , hapo watacheza na kete tofauti hiyo 2030 haswa kwa bachi iliyokaa benchi wakina Nzega boy, Marope , Riz huyu kidogo sana, Kisarawe boy, ingawa last card itadondokea kwenye urithi Znz (old mkuranga Boy
ok gentleman,Kwahiyo umemwita Lucas Mwashambwa mganga wa Kienyeji?.
Dah! Nyinyi mnajuana. Ww ukisema mwenzako ni mganga wa Kienyeji sisi tunabishaje.
Eti bro Mshana Jr
Nimekusikia Dr wa Siasa wa nchi hii.ok gentleman,
basi relax na usirudie tena kumuexpose mganga wa kienyeji kwa mgongo wa mtaalamu mwandamizi, mchambuzi mshauri wa masuala ya kisiasa nchini.🐒
Kabisa, ingawa wapo na kiu ya kuifikia lakini hakuna njia mbadala.Mm pia niko na wazo hili kama ww.
Hawa wote wawili wamerambishwa vyeo vikubwa ili wanyimwe ile nafas kuu.
Kwa kigezo kuwa utaendelea kuheshimika na Kulipwa stahiki zako had ufariki.
Hao mabwana , watalipwa 80% ya Mshahara wa mtu anayeshikilia nafas hiyo kwa wakat huo kwa maisha yao yote. Na ulinzi juu.
Sasa Watake nini tena?.
Ni ulafi tu.
Hii kesi imeshakuwa ngumu sasa. Ila mimi nafarijika sana hawa mazafakas wakizinguanaUnaweza ukahisi ni habari za kutunga, au wale wenzangu na mimi wanasema ni 'drama' za CCM...