Unaweza kudhani ni habari za kutunga

Unaweza kudhani ni habari za kutunga

Picha unayojaribu kuijenga hapa na pengine ndiyo iliyo ktk akili yako ni kuwa kwa wewe unajua na kuamini kwamba, kila siku ni alhamisi...

Unadhani kwamba, kwa kuwa jana ilikuwa hivi, basi na leo itakuwa hivyo hivyo. Unajidanganya..!

Mimi nakuambia hivi👇

Ilikuwa hivyo wakati huo, ilishapita hiyo...

Lakini haitakuwa hivyo kesho wala keshokutwa...

Kesho au keshokutwa itakuja na yake..

Unaweza kupenda au usipende...

Hakuna aliyewahi kudhani kuwa ipo siku Watanganyika wangekuja kuandamana na kugomea zoezi la upigaji kura katika uchaguzi mkuu unaoitishwa nchini...!!

Lakini ilitokea hivyo 29/10/2025 na CCM hawakuamini na hawaamini mpaka leo. Nawe u miongoni mwao bila shaka...!

Hakuna aliyewahi kudhani kuwa ipo siku itatokea serikali iliyochini ya CCM ingeua maelfu ya raia watoto, kinamama, kinababa, kinadada na kinakaka wasio na hatia kwa risasi za moto kama wanyama ili tu kupata madaraka ya urais, ubunge au udiwani...

Samia Suluhu Hassan na genge lake la CCM lilifanya hivyo 29/10/2025...

Sio kila siku ni alhamisi...!

Kila nyakati na majira huja na mambo yake...

Kuna wakati wa kufa na kushindwa pia...

Huu umeshaipata CCM...

Unakuja wakati wa ukiri na kuamini kwako kuwa, NI KWELI ILISEMWA..!
Ni shida sana kuelewa.
Kila nyakati na majira huja na mambo yake...
Mantiki ya andiko hili hasa ni nini?
Kwamba wakati huu ni wa Samia na Genge lake kunyanyasa na kuua waTanzania?
 
Ni shida sana kuelewa.

Mantiki ya andiko hili hasa ni nini?
Kwamba wakati huu ni wa Samia na Genge lake kunyanyasa na kuua waTanzania?
Ni rahisi tu kuelewa

Kuna wakati wa kucheka na kuna wakati wa kulia
Kuna wakati wa kuishi na kuna wakati wa kufa
Kuna wakati wa kula bata na kuna wakati wa njaa
Kuna wakati wa kuwa navyo na kuna wakati wa kuishiwa/kutokuwa
Kuna wakati wa kutembea na kuna wakati wa kukimbia
Kuna wakati wa kuhuzunika na kuna wakati wa kushangilia
Kuna wakati wa taabu/shida na kuna wakati wa shibe na furaha

Ndiyo:
Huu ni wakati wa Samia na genge lake kunyanyasa na kuua Watanganyika.
Lakini nyuma yake unakuja wakati wa yeye kunyanyasika na kufa pia.
Hii ndiyo maana ya kusema kuwa, kila tukio liko controlled na wakati na majira!!
 
Sijawahi kuwa na uamini wa mambo kama hayo.
 
Naona Watu Mnahangaika sana kutaka Kujaribu kumchafua Mheshimiwa Waziri Mkuu Wetu Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr CLEAN Baada ya kugundua kuwa anakubalika ,kupendwa na kuaminika sana kwa watanzania kutokana na uchapakazi wake na uadilifu alionao.

Najua mnashikwa na kiwewe na kuweweseka baada ya kugundua ni kipenzi cha Vijana wote ambao ndio kundi kubwa la watanzania lakini siyo tu kwa Vijana bali kwa Makundi yote Ya kijamii Mheshimiwa Daktari Mwigulu Nchemba ameteka mioyo yao kutokana na namna alivyogusa Maisha yao na kazi kubwa ambayo amekuwa akiifanya ya kutatua kero za wananchi kila kona ya Taifa hili.

Najua mmeshajua na kuona nguvu kubwa ya ushawishi aliyonayo kwa sasa na namna alivyo acha alama njema katika mioyo ya wengi

Hata hivyo napenda kuwaambieni ya kuwa hakuna atakayeweza kumshusha wala kumchafua Mr CLEAN ambaye watanzania wote wanajua na kutambua uadilifu wake na Uzalendo mkubwa alionao kwa Taifa hili .
Ila wewe una Afya ya akili just as Kiranga

Tatizo la afya ya akili obsession na excessive character over something

Wewe unashida kubwa
 
Back
Top Bottom