Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,560
- 7,914
Unawazoesha askari kuua kwa kuwapa laki mbili mwishoe waje kukuua na wewe wakizoea na watapewa laki mbili na mtu mwengine shetani hana rafiki.
Suala la mauaji yanayoendelea na utekaji litakuja kumgharimu na yeye hivi karibuni shetani muuwaji hana rafiki hatukupaswa kupuuzia katiba ya nchi ni upumbavu na ujinga sana.
Kama anaona haya ndio maisha ngoja tuone mwisho wake kweli washauri wake ni akina kingwendu.