Unawaitaje Baba na Mama yako?

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
1-Baba/Mama or Ma/Ba
2-Dad/Mum or Mummy/Daddy
3-Dingi
4-Mzee
5-Bi Mkubwa
6-Mamushka/Babushka
7-Mshua
8-Mzaa chema
9-...au kwa majina yao
 
faza au dingi tukipiga stori wenyewe,

yeye mwenyewe kumsalimia kuongea naye tunatumia Baba,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom