Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,703
- 19,589
1. Jamaa ni bodaboda alimzalisha mwanamke mtoto wa kiume nae wakamuita ALEX
2. Hawakuoana hivyo mwanamke alijifungua akiwa nyumbani kwao.
3. Baada ya kujifungua mwanamke ameishi na mtoto kwa taabu sana kama miezi 10 mwanamke akachukua maamuzi ya kumpeleka mtoto kwa huyo jamaa
4. Jamaa hakumkataa akamchukua,ameishi nae gheto siku mbili akaona ni vema zaidi mtoto ampeleke kwa ndugu ili aendelee vzr na boda yake
5. kweli akampeleka kwa ndugu, mtoto alikuwa amekondeana sana,mama yake hajali,yule ndugu akamlea kama mwanae huyo mtoto na afya ikakaa sawa,
6. Imepita miezi kama mitano hivi mama wa mtoto anaenda kwa ndugu huyo akiwa na hasira,anadai mtoto wake, wakamkatalia ndugu wanasema kumtoa mtoto mpaka idhni ya babake nae huyo mwanamke hataki kuwasiliana na ba mtoto
6. Leo tena amekuja anadai mtoto wake,
7. Maswali yananijia je huyo mama apatiwe mtoto bila hata idhni ya mzazi mwenzie? 8. Je hizo huduma zilizokosekana mpaka zikasababisha mtoto apelekwe kwa baba yake zimepatikana? 9. karibuni wanasheria