Unawaelewaje Wana-JF Hawa......?

na hisi ana u-sheikh yahaya huyu.......kakupatia saaaaaaana
btw poleni, mimi sikujua mwenzio taarifa nimepata usiku

Mrembo vipi tena.andikia kwa chaki basi.Kuhusu msiba nilishindwa kukupigia jana ,nilihisi upo kwenye maadalizi ya TAWLA.
 
Ngoshwe.......ni mtu Mfupi, mwenye manyoya mengi mikononi, mgomvi sana, anakunywa Kongo na anaakili nyingi kuliko maneno kwa mujibu wa vipimo kutoka kwa madaktari wa Muhimbili nnchini Tanzania.
 
Malila

Chapakazi, mjasiriamali na mwenye huruma, ana leadership abilities na mwepesi wa kujitolea
Mrefu wastani ; anakijitambi kidogo hii ni kutoka na misosi ya safarini anayoipata juu kwa juu!
 
I could be wrong but my sixth sense tells me - Maskini_Jeuri is
Family man
Principled
Soft spot for women --or perhaps loves the mother
Intelligent
Labda 28 - 35 years
Urefu wa wastani
Never losses in an argument...
 
Yaani mimi nidiscuss hii . . . ? Tija iko wapi hapa? Chupaku nani kashinda uingereza? Naona Gordon Brown anaelemewa.

Acha hizo bana.....Watu wengine bwana....yaani we unataka kila wakati tudiscuss siasa tuuuuuuu.....Usiwe serious kihivyo....Wengine sie hapa ni kijiweni(Kama Baraza la kahawa la Msisiri-Mwananyamala)...Tunajaribu kupeleka mbele muda na kupiga soga.....Ukitaka mambo ya Tija sijui nini nenda Jukwaa husika(Jukwaa la Siasa,Kimataifa,Uchumi,Dini n.k)
 
Sasa Chupaku unajua tupo kazini huku tunaangalia mambo yanayojiri harafu wewe unatuuliza vitu ez if hatuna kazi. Achana nayo hiyo bwana wewe ikusaidie wewe tu kujua watu kama uko interested. Sisi tunataka kujua hoja ambazo ni elimishi kaka

Hpa sio kwako babu...Hili ni jukwaa la Mapenzi,mahusiano na urafiki.....Ukitaka mambo ya elimu sijui na nini pitia majukwaa hapa chini:

International Forum

Jukwaa la Siasa

Uchaguzi Tanzania 2010

Jamii Intelligence

Business & Economic Forum

Education, Science & Technology Forums
n.k
 
Acha hizo bana.....Watu wengine bwana....yaani we unataka kila wakati tudiscuss siasa tuuuuuuu.....Usiwe serious kihivyo....Wengine sie hapa ni kijiweni(Kama Baraza la kahawa la Msisiri-Mwananyamala)...Tunajaribu kupeleka mbele muda na kupiga soga.....Ukitaka mambo ya Tija sijui nini nenda Jukwaa husika(Jukwaa la Siasa,Kimataifa,Uchumi,Dini n.k)

Swadaktaaa! saa zingine mudi ya kazi kwishnei, ndo tunakuja hapa kijiweni, tukiwa na nguvu tunahamia kwenye kazi na hoja zenye nguvu.
 
watu wengine sijui maisha yao yakoje.........just cant imagine!!!

kwani kila wakati lazima mtu ukunje ndita tu????

wakati mwingine tunahitaji muda wa kurelax bwana...........

well said husband!!!!
 
1. bht........1.ANAWEZA KUKUPASHA/SHUSHUA BILA KUOGOPA, UKIKOSEA.
2. MTU MWEMA
3.ANAPENDA USHRIKIANO.
2.FLI. 1.INTELIGENT.
2.MWANGALIFU
3.ANAJIHESHIMU.
4. SI MSEMAJI SANA.
5.ANAMPENDA MUNGU
3.MARIA ROZA.1.MREMBO
2.MTU ANAEJALI BINADAMU WENGINE.
3.MCHESHI
4.MJANJA NA MWANGALIFU.

nitandelea baadae kidogo.

Thanks tall,
umenichekesha kwenye kushushua mmh, umepatia kuliko maelezo lol!!! (mimi muoga sana bana unanionea)
 
Swadaktaaa! saa zingine mudi ya kazi kwishnei, ndo tunakuja hapa kijiweni, tukiwa na nguvu tunahamia kwenye kazi na hoja zenye nguvu.

...Nani kasema hii maneno haifai, na ni mbofumbofu?...Nani huyo?...Hajui kazi na dawa?...Hujamsikia Waziri Mkuu wa nanihiiino huko akimaliza kazi huwa anaangalia Jukwaa la "Maria PakaJimmy na Roza", hadi juzi ma'spyware' yakaonyesha madudu yake??....Waache watu wafanye "rilaksio" bana!
 
I could be wrong but my sixth sense tells me - Maskini_Jeuri is
Family man
Principled
Soft spot for women --or perhaps loves the mother
Intelligent
Labda 28 - 35 years
Urefu wa wastani
Never losses in an argument...

Wuuwi! Theodora umepatia no 1, 3 na 4!

I was raised by mother single handedly till I was nine yrs old ndipo alimpata My Step Father ambaye wako wote mpaka leo!

Yes I love my mother as result I love my wife coz she is the mother to my son!

CONGRATS ALL MOTHER out there!

Happy Mothers day!
 
Theodora!

Beautiful; soft spoken na highly intelligent!
Can make a good judge and manager and quite principled!
Ana uwezo wa kushawishi na kwa hoja zenye mvuto na mkali inapokuwa ni kusimamia ukweli ; hapendi kuzunguka !
Napendekeza agombee ubunge au afikirie kuwa raisi wetu baadaye! Nitazunguka nchi nzima kupiga kampeni!
 
I am now getting scared.... au Maskini_Jeuri unanifahamu? Kwa kifupi none is untrue, lakini kugombea aisee...bado nipo nipo kwanza...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom