Unawaelewaje Wana-JF Hawa......?

Chupaku

JF-Expert Member
Oct 15, 2008
1,091
401
Tangu nilipoambiwa na rafiki yangu kuhusu JF nimekuwa siachi kufika hapa jamvini kila nikipata nafasi. Hapa ni sehemu ambapo mnahusiana bila kujuana (kwa wengi wetu). Haiyumkini hapa wapo watu na wake zao, wanalala nyumba moja kisha wanakuja kubishana na kupeana hoja hapa. Bila shaka umepata taswira fulani fulani za baadhi ya watu humu, kama tabia zao, aina za kazi wanazofanya, jinsia, marital status zao. Hebu kuwa mtu wa imagination kidogo unapoanza weekend hii, na uchambue baadhi ya wana-JF. Jiulize, Ukimuona Chupaku unadhani ni mtu wa aina gani? MwanajamiiOne, Chrispin, YoYo, Boflo, Pretty, etc etc? Karibuni...

Ngoja nijaribu

MwanajamiiOne
Middle aged lady,
Married,
Wise,
Umbile la wastani,
Mchaga???

Chrispin
Mweusi,
Mchaga (ana meno ya kukaanga),
ana kitambi,
Ameoa, mtu wa makamo
Ana Grocery- hahahaaa
Marketing profession??

Pretty
Msichana wa kileo,
Anafanya kazi kwenye corporates,
Slender, Beautiful

Fidel80
Umbile la wastani, Mrefu,
Hawaangalii wanawake usoni??
Mweusi

Bubu Ataka Kusema
Calm, ila mbishi,
Mrefu wa wastani,
Mweusi,
Gentleman

Charity
Kind hearted,
Beautiful,
Classy
Not married.

And the list goes on and on....
Karibuni
 
Yaani mimi nidiscuss hii . . . ? Tija iko wapi hapa? Chupaku nani kashinda uingereza? Naona Gordon Brown anaelemewa.
 
Chupaku
30 - 40 yrs.
Maji ya kunde
Sio mbishi sana
Wise
Married with Kids
Ameridhika na maisha (Maisha mazuri)
Mtanashati wa wastani

Yaani mimi nidiscuss hii . . . ? Tija iko wapi hapa? Chupaku nani kashinda uingereza? Naona Gordon Brown anaelemewa.

Anayeshinda Uingereza atakusaidia nini wewe? Tangu uingie JF umebobea katika mambo ya TUCTA na migomo ya wafanyakazi, endelea huko. Tija? Saa za kazi unafanya nini humu?
 
Chupaku
30 - 40 yrs.
Maji ya kunde
Sio mbishi sana
Wise
Married with Kids
Ameridhika na maisha (Maisha mazuri)
Mtanashati wa wastani

Umepatia wastani, au unanifahamu? Maisha sijaridhika, natafuta ndugu yangu, nakula mzigo kweli kweli
 
Sasa Chupaku unajua tupo kazini huku tunaangalia mambo yanayojiri harafu wewe unatuuliza vitu ez if hatuna kazi. Achana nayo hiyo bwana wewe ikusaidie wewe tu kujua watu kama uko interested. Sisi tunataka kujua hoja ambazo ni elimishi kaka
 
Pita tu ndugu yangu, waachie wenye kuweza kujadili. Ukinisoma vizuri nimesema ni ya kuanzia weekend. Wiki nzima umefanya kazi, anza kupumzika kidogo, dont be too serious. relax othersie you will be a total mess as ur name suggests
 
Hivi Chupaku umeoa au umeolewa?
Samahani kama nitakuwa nimekukwaza.
 
Tangu nilipoambiwa na rafiki yangu kuhusu JF nimekuwa siachi kufika hapa jamvini kila nikipata nafasi. Hapa ni sehemu ambapo mnahusiana bila kujuana (kwa wengi wetu). Haiyumkini hapa wapo watu na wake zao, wanalala nyumba moja kisha wanakuja kubishana na kupeana hoja hapa. Bila shaka umepata taswira fulani fulani za baadhi ya watu humu, kama tabia zao, aina za kazi wanazofanya, jinsia, marital status zao. Hebu kuwa mtu wa imagination kidogo unapoanza weekend hii, na uchambue baadhi ya wana-JF. Jiulize, Ukimuona Chupaku unadhani ni mtu wa aina gani? MwanajamiiOne, Chrispin, YoYo, Boflo, Pretty, etc etc? Karibuni...
Charity
Kind hearted,
Beautiful,
Classy
Not married.

And the list goes on and on....
Karibuni

Duh! No komenti.Usije ukanifanya nibadilishe ID.
 
Mambo ya kuanza kuchunguzana hayo Chupaku siunaona watu wanataka kubadiri ID? sasa wewe mimi nikiongelea TUCTA inanihusu mimi ni mfanyakazi na ni rais wa tz lazima nitoke kiuno mbele inapotokea kuna jambo ambalo linapotoshwa. sasa ukianza mambo hayo utaanza ku guess ID za watu na majina watu hawatochangia kwa uhuru wakijua wanajulikana. ii drop hiyo kaka nakuheshimu sio kwamba nimekuwa hash kwako.
 
1. bht........1.ANAWEZA KUKUPASHA/SHUSHUA BILA KUOGOPA, UKIKOSEA.
2. MTU MWEMA
3.ANAPENDA USHRIKIANO.
2.FLI. 1.INTELIGENT.
2.MWANGALIFU
3.ANAJIHESHIMU.
4. SI MSEMAJI SANA.
5.ANAMPENDA MUNGU
3.MARIA ROZA.1.MREMBO
2.MTU ANAEJALI BINADAMU WENGINE.
3.MCHESHI
4.MJANJA NA MWANGALIFU.

nitandelea baadae kidogo.
 
Nahisi hapo kwa Mariz Roza umechemsha, maana mpaka sasa hatuna uhakika na jinsia yake....!!!
 
Tangu nilipoambiwa na rafiki yangu kuhusu JF nimekuwa siachi kufika hapa jamvini kila nikipata nafasi. Hapa ni sehemu ambapo mnahusiana bila kujuana (kwa wengi wetu). Haiyumkini hapa wapo watu na wake zao, wanalala nyumba moja kisha wanakuja kubishana na kupeana hoja hapa. Bila shaka umepata taswira fulani fulani za baadhi ya watu humu, kama tabia zao, aina za kazi wanazofanya, jinsia, marital status zao. Hebu kuwa mtu wa imagination kidogo unapoanza weekend hii, na uchambue baadhi ya wana-JF. Jiulize, Ukimuona Chupaku unadhani ni mtu wa aina gani? MwanajamiiOne, Chrispin, YoYo, Boflo, Pretty, etc etc? Karibuni...

Ngoja nijaribu

MwanajamiiOne
Middle aged lady,
Married,
Wise,
Umbile la wastani,
Mchaga???

Chrispin
Mweusi,
Mchaga (ana meno ya kukaanga),
ana kitambi,
Ameoa, mtu wa makamo
Ana Grocery- hahahaaa
Marketing profession??

Pretty
Msichana wa kileo,
Anafanya kazi kwenye corporates,
Slender, Beautiful

Fidel80
Umbile la wastani, Mrefu,
Hawaangalii wanawake usoni??
Mweusi

Bubu Ataka Kusema
Calm, ila mbishi,
Mrefu wa wastani,
Mweusi,
Gentleman

Charity
Kind hearted,
Beautiful,
Classy
Not married.

And the list goes on and on....
Karibuni

Nyuki je yukoje???? karibuni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom