Mimi natumia PSIPHONHabar za muda huu .
Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu. Na hali inayoendelea sasa jamii forums tuambie unatumia VPN gani kuingia kwenye hili jukwaa.
Mm natumia thunder VPN ipo vizuri inanisaidia X zamani twitter na hapa jamii forums.
Tuambie wewe unatumia ipi hivi ikitokea moja imezingua tuwe na chaguo lingine .
#Kaata_wahuni
#free_jamiiforums
#free_twitter
Mimi natumia secure VPN,ni bure na haijawahi kuniangushaHabar za muda huu .
Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu. Na hali inayoendelea sasa jamii forums tuambie unatumia VPN gani kuingia kwenye hili jukwaa.
Mm natumia thunder VPN ipo vizuri inanisaidia X zamani twitter na hapa jamii forums.
Tuambie wewe unatumia ipi hivi ikitokea moja imezingua tuwe na chaguo lingine .
#Kaata_wahuni
#free_jamiiforums
#free_twitter
Hata mim nimeamia kwenye kiswaswadu sina haja ya vpnMim kiswaswadu changu tayari kina vpn ya ndani kwa ndani
Kitochi yangu inauwezo bila hizo kolokoloMnataka muijue muipige pini?View attachment 3466780
Tor browser ipo vizuri sana
Siwashi vpn naingia kwa kutumia Opera min na naperuzi JfMimi mbona napata JF kawaida tu bila VPN
Acha zako mkuu 🤣Hata mim nimeamia kwenye kiswaswadu sina haja ya vpn
Seriously? 🤣🤣Siwashi vpn naingia kwa kutumia Opera min na naperuzi Jf
Hata siku kumi bado hazijatimia 🤣Bado hali si hali. Siku 90 si mchezo. Mpaka muda huu ni mwendo wa kuviziana tu.
Weka picha 🤣🤣Kitochi yangu inauwezo bila hizo kolokolo
Weka dauWeka picha 🤣🤣
Aftatu mkuu 🤣Weka dau
Hawa TCRA na serikali yao ni nyoko kweli kweli. Siyo kwa mateso haya wanayo tupatia sisi wakulungwa tusio na hatia.Hata siku kumi bado hazijatimia 🤣
Aftatu hata dola baaado kabisaaAftatu mkuu 🤣
Dola unapata na chenji kama mia tatu mkuu inabaki🤣Aftatu hata dola baaado kabisaa
Hapa natumia 1⁴ VPN, nadhani wataalamu wanaipata sana 😂Habar za muda huu .