Unatumia unit ngapi za LUKU kwa siku?

Familia ya watu wa 4, tv on almost 24 hrs, fridge haizimwi, pasi mara kadhaa, kucharge simu all the time.

Tuna average units 3.5 kwa siku.
Na Mie ndio hiyo Niko alone friji , feni security lights ,AC sigusi na pasi kila siku asubuhi.
 
Huyu

Huyu jamaa atakua anataa tuu
Inawezakana kutumia umeme huo, nina familia ya watu 3 kwa mwezi natumia umeme wa 5000 sawa na unit 41 nawasha friji, feni 3, tv 2, rice cooker, brender, pump ya maji, pasi na vacuume cleaner, natumia hizo unit 41 confortably hadi mwezi mwingine, maji natumia unit 3 hadi 4 kwa mwezi
 
Du! Iyo itakuwa AC au jokofu la muhimbili la kuifadhi maiti
 
Labda zile AC za kutoboa ukuta ila sio izi za kisasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…