Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,746
- 6,896
Ili kuimarisha usafi wa mazingira yetu napendekeza tuanze kukusanya ushuru wa taka kupitia mita za luku.
Tsh 6,000 kwa mwezi kwa kila mita, sawa na wastani wa Tsh 200 kwa siku.
Tanesco wakishakusanya pesa hizi wazipeleke kwenye mkoa husika.
According to sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022. Kuna nyumba taribani milioni 12 hadi sasa.
Tukifanikiwa kukusanya fedha hizi kwa angalau nyumba milioni 10, tuna uwezo wa kukusanya Tsh bilioni 720 kwa mwaka.
Mikoa iwezeshwe kukopa mikopo ya kibiashara na kununua matipa (Howo/ Faw au Shacman), angalau tipa mbili kwa kila kata za mjini na tipa 1 kwa kata za vijijini.
Wizara ya tamisemi kwa kushirikiana na wizara ya mazingira waingie MOU na Tanesco ili zoezi la ukusanyaji wa ushuru wa taka kupitia mita za luku uanze mara moja.
Tukifanya hivi tutafanikiwa kuboresha usafi wa mazingira yetu