Unataka Utajiri? Njoo Tunduma haraka!

Goldman

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
1,829
2,000
Hizi story za kufikirika na za kijiweni! Tunduma ndo border kubwa kuliko zote tanzania kwa kuwa ndo kuna zambia wanategemea hapo kuna congo drc kuna kipande kidogo pia cha malawi, also ni gateway to south africa lazima kamji kachangamke!

Swala lako la kusema kuna matajiri wadogo huo ni uongo uliopindukia,! Mji wenyewe una ghorofa tano nazo siyo za kihivyo nazo ni lodge maana hotel ni moja tuu, Mwenye V8 yuko mmoja! The whole place! Hakuna mwenye nyumba ya ghorofa ops iko moja sehemu inaitwa mangurueni! So ni kamji kadogo kalikochangamka thats all nothing more nothing less! Utajiri huwa haufichiki! Utajiri ni kama perfume inanukia hata kwa jirani yako, punguzeni stories za vijiweni.
 

j wara

Senior Member
Aug 18, 2016
188
250
Mara jogoo kadonoa punje moja akaivunja katikati akala nusu punje ....
Hapo unaweza mrukia mganga na Ngumi zote.
 

Moo Click

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
2,856
2,000
Darasa la Nne unampa utajiri alafu utegemee Mabadiliko ya Dubai!? apo yenyewe jogoo kala maindi matatu haya mwingine uko nae katoa nguvu za kiume then what!!!!!
Uongo tu wa kuwaaminisha watu na kuwafariji..Huo utajiri wa kutisha mbona hatujasikia.Hiyo Tunduma si ingekuwa kama Marekani basi au Dubai.
 

hazard Don

JF-Expert Member
Oct 9, 2017
867
1,000
hiyo ya kuku iko namna ya kuitengua na haina mashabiki wengi siku hizi...........iko hiyo unakuta kijana shababi kwelikweli,halafu ana mahela yakutosha...........anakuwa na wadada wengi wengi kwenye gari halafu kumbe jongoo hapndi mtungi!!...kijana ambae hana familia,anataka utajiri anaenda kwa mganga,sharti analopewa ni kutoa nguvu zake za kiume ila anapata utajiri wa haraka na mwingi kwelikweli!
Dah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

mludego

JF-Expert Member
Mar 16, 2013
1,440
2,000
Embu fikiria kabisa huchakati papuchi.
Daaaa bora kubaki tu maskini

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio kuna jamaa huko Songwe anaitwa BAJOH hachakati papuchi ila wahuni wanamchakata na ukwasi anao umri ni miaka 28-32 hivi kutwa nzima anashinda ndani kwenye magari yake ya kifahari kwa siku. Huendesha magari hata sita tofauti kwa siku lkn hana kazi kwakweli namuona kama yeye ndio anateseka tuu
 

amu

JF-Expert Member
Aug 8, 2012
15,220
2,000
Unamaanisha yeye ndo analiwa? ASA ya nini yote hayo?
Ndio kuna jamaa huko Songwe anaitwa BAJOH hachakati papuchi ila wahuni wanamchakata na ukwasi anao umri ni miaka 28-32 hivi kutwa nzima anashinda ndani kwenye magari yake ya kifahari kwa siku. Huendesha magari hata sita tofauti kwa siku lkn hana kazi kwakweli namuona kama yeye ndio anateseka tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

state agent

JF-Expert Member
Jul 1, 2019
1,770
2,000
Biashara matangazo

State agent
Tupo Tunduma na tumekula Christmas hapa huku tukisubiri mwaka mpya.Mambo ya Tunduma yanatisha kama sio kushangaza
Tunduma ndio sehemu pekee Tanzania kama sio Africa ambayo vijana wadogo kabisa ni matajiri wa kutisha na wengi wao hawana hata elimu ya darasa la saba.

Baada ya kufanya utafiti mdogo tu kuhusisha watu kama kumi tumegundua kuina jambo linaloendelea hapa Tunduma na Mbeya ambalo bado halijawekwa wazi watu wa Tunduma hasa vijana wanatumia nguvu za giza au uchawi kupata mali nyingi wanazomiliki.Kuna mganga maarufu hapa ambaye anafuga jogoo mkubwa sana mwenye afya ya kutosha ukitaka utajiri unaenda kwa huyu mganga halafu anabashiri siku zako za kuishi duniani zimebakia ngapi akishakupa idadi ya siku zako zilizobakia duniani anamleta jogoo wake mwenye afya tele anarusha mahindi sawasawa na idadi ya miaka yako iliyobakia duniani.

Jogoo anaruhusiwa kudonoa mahindi yale, kama miaka yako ya kuishi duniani ilibakia 10,mahindi kumi yanarushiwa jogoo,anadonoa na kula baadhi ya mahindi,akila mahindi matano ina maana utapewa utajiri na utaishi miaka mitano baada ya hapo utakufa ile miaka mitano iliyobaki utaenda kuwatumikia wakubwa waliokupa huo utajiri,kuna machimbo ya madini Congo DRC ndiko unakopelekwa tulipoulizia maisha ya huko machimboni uliambiwa kule unakunywa maji kila siku huku ukipiga kazi masaa 24.

Hiyo ndio taarifa ya Tunduma mji uliojaa vijana waliokata tamaa na kuamua kujitoa mhanga.

Hii taarifa ni ya kweli na tumefanya utafiti wa kutosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkomavu

JF-Expert Member
Jan 25, 2016
10,169
2,000
Biashara matangazo

State agent

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe uende ili uache kuwanga lumumba street
tapatalk_1578309249919.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bikini

JF-Expert Member
Oct 16, 2018
328
500
Gaijin I was blessed with a chance to live in Mbeya for some two good years, This is a story I have been hearing al along but sikubahatika kufanya uchunguzi wa kina kama mleta mada.

Ninaachoomba mleta mada anieleze alifanya vipi huo uchunguzi? ulienda kwa huyo mganga? ulipewa taarifa na m2 aliyewahi kwenda? Kwani wanatoaga hizo ''siri''?
Lazima mtoa siri yupo hata kama masharti yanakataza .... Hawakosekani watu wa hivo mkuu,

Labda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Robidinyo

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
2,236
2,000
Ndio kuna jamaa huko Songwe anaitwa BAJOH hachakati papuchi ila wahuni wanamchakata na ukwasi anao umri ni miaka 28-32 hivi kutwa nzima anashinda ndani kwenye magari yake ya kifahari kwa siku. Huendesha magari hata sita tofauti kwa siku lkn hana kazi kwakweli namuona kama yeye ndio anateseka tuu
Mashariti Alipewa ya Kuliwa au aliamua tu kuliwa Baada ya kuona hana uwezo wa kula mbunye.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom