Unataka Utajiri? Njoo Tunduma haraka!

Unataka Utajiri? Njoo Tunduma haraka!

Tupo Tunduma na tumekula Christmas hapa huku tukisubiri mwaka mpya.Mambo ya Tunduma yanatisha kama sio kushangaza
Tunduma ndio sehemu pekee Tanzania kama sio Africa ambayo vijana wadogo kabisa ni matajiri wa kutisha na wengi wao hawana hata elimu ya darasa la saba.

Baada ya kufanya utafiti mdogo tu kuhusisha watu kama kumi tumegundua kuina jambo linaloendelea hapa Tunduma na Mbeya ambalo bado halijawekwa wazi watu wa Tunduma hasa vijana wanatumia nguvu za giza au uchawi kupata mali nyingi wanazomiliki.Kuna mganga maarufu hapa ambaye anafuga jogoo mkubwa sana mwenye afya ya kutosha ukitaka utajiri unaenda kwa huyu mganga halafu anabashiri siku zako za kuishi duniani zimebakia ngapi akishakupa idadi ya siku zako zilizobakia duniani anamleta jogoo wake mwenye afya tele anarusha mahindi sawasawa na idadi ya miaka yako iliyobakia duniani.

Jogoo anaruhusiwa kudonoa mahindi yale, kama miaka yako ya kuishi duniani ilibakia 10,mahindi kumi yanarushiwa jogoo,anadonoa na kula baadhi ya mahindi,akila mahindi matano ina maana utapewa utajiri na utaishi miaka mitano baada ya hapo utakufa ile miaka mitano iliyobaki utaenda kuwatumikia wakubwa waliokupa huo utajiri,kuna machimbo ya madini Congo DRC ndiko unakopelekwa tulipoulizia maisha ya huko machimboni uliambiwa kule unakunywa maji kila siku huku ukipiga kazi masaa 24.

Hiyo ndio taarifa ya Tunduma mji uliojaa vijana waliokata tamaa na kuamua kujitoa mhanga.

Hii taarifa ni ya kweli na tumefanya utafiti wa kutosha.
Duh! hatari Sana, tunduma sehem gani maana Mimi naishi tunduma na sijui kuhusu hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kule Songea kuna jamaa anaitwa AKA Maka Best alifariki ghafla wiki mbili zilizopita inasemekana alikuwa na utajiri wa aina hiyo.maana kifo chake kinashangaza kwa kweli,aliamka asubuhi akafanya mazoezi kama kawaida yake lakini wakati akijiandaa kwenda kwenye biashara zake alianguka ghafla na alipikimbizwa hospital alikuwa tayari kafariki!amecha mali na pesa sio mchezo.alizikwa kwao huko Makambako
 
Ni kweli,ogopa sana watu wa nyanda za juu kusini.
1.Ukija Ntwara kuna kitu kinaitwa ngende ni nomaaa unakua Legrande mupoa pedeshee mutu ya pakee mingi

2.Kuna kitu kinaitwa Ndele ni nomaa hii diamond kafanya

3.Ukienda iringa(wakinga) utajiri wao ni wa kuua wazazi nenda k/koo utakuta mkinga na yeboyebo na kipensi cha jinsi lakini ana jengo la ghorofa 8 k/koo!

4.Watu wa iringa wanaondoa viungo vya mwilini mwao kwa ajili ya kupata utajiri.
Ndele hii kitu ndo kaifanyaje
 
Mbona hao wataalam me nazunguka Sana siwapati? Anaeweza kunipa connection tafadhali anisaidie 0747658718
 
Wakuu samahani,naomba anaeweza kunisaidia connection na hawa wataalam naomba anisaidie kwa simu 0747658718
 
Back
Top Bottom