Unataka kupiga soga na nani?

Unataka kupiga soga na nani?

Hivi hizi picha unapata wapi na unazo ngapi brother 😁😁
1e3d0140-e390-4a33-ae1f-3144ad4b3d54.jpeg
 
JF kuna watu poa sana na waungwana isingekuwa "viashiria vya ugaidi" leo ningetoa offer bill zote kwangu.
Kuna raha sana kukutana na mtu hamjuani mnapiga stori za harakati za maisha huku mnashushia bia. Hakuna kuulizana majina wala maswali ya interview.
 
Back
Top Bottom