Unataka kupiga soga na nani?

Unataka kupiga soga na nani?

KENZY wapi wewe🤣
Funny.jpeg
 
Na wewe kukusoma ushauri wako wa mengi uliyotupatia zamani na nikajifunza mengi na Mola anasim.

Lete basi uzi chache, maisha ya sasa sio ya miaka ile ya ugiza yamezidi sana miaka hii.. Yaani ni kama kungekuwa na majengo watu wayafatayo hayo wakawa huru kuonekana basi majengo ya wao kujifunza au kuabudu hayo yangefurika... Umri mdogo now wamo... Najua umenielewa 🤗😍
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom