Karibu tuzogoe😁Mi apa😀
Sawa tuanze upya😎Twende taratibu mjukuu
Una kiswahili kigumu.Sawa tuanze upya😎
Mimi hayo mafuso hapana, nataka kale ka ist ka mwanzoWewe mapigo yako haya hapaView attachment 3650230
We jamaa naona unataka kuanzisha gang. 🤣De gunner
Mkuu Mshana napenda sana kiuno nyigu nisiwe mwongo kwakweliYou know good things😎View attachment 3650247
Wa kike wana nini mkuu?Rafiki mpya ila asiwe wa kike.
Kivipi?We jamaa naona unataka kuanzisha gang. 🤣
Wazeee wana masharti magumu last bornNataka rafiki mzee🤸🏽♂️
Hizi IDs zako hizi...Kivipi?