SIR MGAX
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 1,345
- 2,308
Tupo.Wala skanka wenzangu
Tupo.Wala skanka wenzangu
Tuwake, jpili nikiokota hela mahali utadaka hata la 20k ujimimine , ngoja tuone🤣Weekend imeanza 🥂
Hiyo ya "Mzee mpya sasa mweeh", ina walakini sanaKwani kuchagua mtu wa kupiga naye story inamaana wengine hawafai?
Imeishaa hyo aloooTupo.
Kabisa tajiri la kichaga!Tuwake, jpili nikiokota hela mahali utadaka hata la 20k ujimimine , ngoja tuone🤣
Nina jambo langu😆Hiyo ya "Mzee mpya sasa mweeh", ina walakini sana
Jambo gani mzee nipo kusikiliza...😅Nina jambo langu😆
Umezeeka umeambiwa na hiyo lebo yako kila mwakaLook how marvellous God is😅😅
Kwa hiyo wazee hawatakiwi kupata wa kuongea nao!Umezeeka umeambiwa na hiyo lebo yako kila mwaka
Nina kazi naye😎Jambo gani mzee nipo kusikiliza...😅
Samahani mkuu huyu dada alizaliwa kweli au alishushwa tuu from no where??Tatizo mkorofi Ila nimekamiss kashepu kako😋View attachment 3650179
Babu hakidhi vigezo?😅😅Nina kazi naye😎
Wewe pia una Makebo makubwa?Likaka lina roho mbaya si shangai wewe ni mchaga
Mzee unanibananisha nakosa pumzi!Babu hakidhi vigezo?😅😅
Twende taratibu mjukuuMzee unanibananisha nakosa pumzi!
Oya 👀 hii Mali ya wapi, kama ni kuku huyu ni kienyeji zile za zamani aiseeTatizo mkorofi Ila nimekamiss kashepu kako😋View attachment 3650179