Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,484
Usiogope shunie wangu nitapambana nao ngoja niwaandalie somoNamuona Ney ujue hatutakii mema
Usiogope shunie wangu nitapambana nao ngoja niwaandalie somoNamuona Ney ujue hatutakii mema
Hao wavulana ndio ninao wataka mie wala hawatanishinda
Mie mapovu na umri huu wala hayanisumbui, nitawaelewesha tuuWe wafunde tu wanyooke, wakitoa mapovu faida yao cos watafulia nguo! 🙂
Mie mapovu na umri huu wala hayanisumbui, nitawaelewesha tuu
Kabisa mpaka tuelewaneWakichamba si tunachambana kwani tatizo li kwapi?!, tena itakuwa vizuri, tusafishane vizuri.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwambieni aende pm haraka sana!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Auntie uende pm kwa bamdogo
Haya kawafungulie uzi basi.Hao wavulana ndio ninao wataka mie wala hawatanishinda
Haleluyaaaa!Mie mapovu na umri huu wala hayanisumbui, nitawaelewesha tuu
Nasubiri tu huo uzi nami nitoe mapovu yangu.[emoji15] [emoji15] Auntie vipiii mbona umerudi na kicheko jamaan
Nasubiri tu huo uzi nami nitoe mapovu yangu.