Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Mwenza tangu lini umekuwa mwanafasihi?
We acha tu...Mwenza tangu lini umekuwa mwanafasihi?
Mie haya maua nimeyaelewa japo samtaim napingana nayo aisee
Mwenza tangu lini umekuwa mwanafasihi?
We acha tu...Mwenza tangu lini umekuwa mwanafasihi?
Ile kitu ilitiki?Ha ha ha aah huyo dada nae ni noma, wakati ndo anafika kazini bado mgeni kuna jamaa alitaka kumuoa, kila kitu kimepangwa hadi ukumbi ushalipiwa jamaa akala kona a week before send off, nlimuonea huruma namuona innocent mmh kuja kumjua kumbe ilikua halali yake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We acha tu...
Mie haya maua nimeyaelewa japo samtaim napingana nayo aisee
vip nimjibie espy au atajibu mwenyewe ?
KilitikiIle kitu ilitiki?
Yes or No?
Watasikia tu ata kama wabishi
Khaaa yani hakuweza hata kufunika kombe jamaniLast time kapata mchumba, akamuektia mchumba kaingia line akamvalisha engagement, kuanza upelelezi jamaa akaambiwa huyo mwanamke hafai anatukana mno, jamaa kaenda kumuuliza baby nmesikia hivi na hivi, swali la kwanza mwanamke kauliza ni matak* gani huyo kasema, akashusha matusi mchumba akamwambia basi mama hiyo pete utatengeneza hereni, kala kona
Yule mwanamke ni bomu, mwanaume anaetangaza nia pale lazma umhurumie hata kama haumjuiKhaaa yani hakuweza hata kufunika kombe jamani
Ila bora coz angemsumbua mwanaume wawatu bure. Wanawake wengine unajiuliza hupati jibu jinsi walivojaa vitimbi
MO11 atanisaidia kujibu mwenza.
Upo??Ujumbe murua sana huu shunii
Mie mzima mkwe, habari ya weye?Aunt yake ...u mzimaa ??
Ahahah nini lakini madame b mbona ulipotea hivi toka mfungo uishe huonekani jamaan eid umekula mwenyewe au ulitekwaaaa