Unataka kuolewa mdada umejipanga?

Unataka kuolewa mdada umejipanga?

Last time kapata mchumba, akamuektia mchumba kaingia line akamvalisha engagement, kuanza upelelezi jamaa akaambiwa huyo mwanamke hafai anatukana mno, jamaa kaenda kumuuliza baby nmesikia hivi na hivi, swali la kwanza mwanamke kauliza ni matak* gani huyo kasema, akashusha matusi mchumba akamwambia basi mama hiyo pete utatengeneza hereni, kala kona
 
Nalendwa shikamoo jamaan ulikuwa wapi lakini


Marahaba bibie mzima?
Mie nipo mwaya. Asee shukran sana kwa hili somo hapa, manake sio kwa ukweli huu.
Halafu nimependa mada ime base kote kote kwa wanaume bora waoaji na wanawake waolewaji.
 
Marahaba bibie mzima?
Mie nipo mwaya. Asee shukran sana kwa hili somo hapa, manake sio kwa ukweli huu.
Halafu nimependa mada ime base kote kote kwa wanaume bora waoaji na wanawake waolewaji.
Umeona eenh karibu sana mamy tulimiss tu uwepo wako
 
hahahahahahahahah! walah ndoa hizi khaaa!nilifanya bwana ile ya kupokea had koti siju nkumvua viatu,i kufungua vishikizo aliniuliza oya UMETUMWA NA CHADEMA EH???yaan niliishia kucheka hatari kwakwel kila mtu na ndoa yake
uliishiwa pozi bct
 
Back
Top Bottom