Mazoea mabaya sn,ukimlamba mwanaume miguu sana na akajua unahitaji ndoa kuliko hata yeye anakimbia...mda mwingine wanawake tujitathmini tumeaminishwa kupenda status ya ndoa kuliko kuenjoy mapenzi na mwanaume husika,, hata akufanyie b.sh.it unavumilia tu ili uolewe jmn..not always akikosea na ye mchane live ama km vp walk away...atleast tishia japo...na mpende mwanaume jinsi alivyo ndoa ni matokeo ya mapenzi baina yenu..tupunguze kupenda harusi tupende ndoa na kuishi kwa amani
Kuna binti nlitaka nimuoe nkabadilisha mawazo sababu hataki kuacha kuvaa makatani kichwani
Atakupa injinia wa kipare mwingine.Mungu sitochoka kukuomba unipe yule wa ubavu wangu ,wakufanana na mim pale muda utakapofika naamin wa kwangu yupo mahal ,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]sio kila mtu anataka kuolewa wengine wanaenda kuangalia mikato ya chumba
Mwanamke unajiweka tayari sawa!! Sasaaaaa hao the so called waume duuuh!! Bora waanze kujiandaa wao kwakweli.
Inawezekanahaukuwa unampemda we nawe
somesha ndugu zako sio mkeOhoo huskii huko analalamika amemsomesha mtu alafu kamuacha [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]teh teh! ndo muwanyenyekee muwalilie mkiwa mmepiga magoti!
Hao "wadada wa humu" wanaochamba waume zao unawajua wangapi? Au ilimradi tu nawe umechangia mada!!!ujumbe muruaaaa huu
lakini wadada wa humu ndani hawawezi kukuelewa hata kidogo; wengi wao ni majuha na wanajiona wao ndio wao na wengi tayari imeshafika saa 10 na wamekata tamaa. kazi yao ni kichambo tu kwa wanaume coz wanajijua hawaoleki tena
jiwe gizani ukisikia paaaaa ujue.....!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na moyo uliopondeka.
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
mwache bwana hafai kujibiwa!Hao "wadada wa humu" wanaochamba waume zao unawajua wangapi? Au ilimradi tu nawe umechangia mada!!!
napitaaOhoo huskii huko analalamika amemsomesha mtu alafu kamuacha [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahahahahahahah! walah ndoa hizi khaaa!nilifanya bwana ile ya kupokea had koti siju nkumvua viatu,i kufungua vishikizo aliniuliza oya UMETUMWA NA CHADEMA EH???yaan niliishia kucheka hatari kwakwel kila mtu na ndoa yake
halafu anahisi kila cha humu cha cha kweliHao "wadada wa humu" wanaochamba waume zao unawajua wangapi? Au ilimradi tu nawe umechangia mada!!!