Unataka kuolewa mdada umejipanga?

Unataka kuolewa mdada umejipanga?

Wanaume nao wamegawanyika hivyohivyo, waoaji na wachezaji. Wachezaji huwa ni vigumu sana kutua kwenye viwanja vya waolewaji labda kama muolewaji yuko mguu pande kwenye suala la ndoa. Mada imefafanua vizuri upande wa wadada.
Shida ni kuwa unajiandaa kuwa sasa umekua and yo ready for a certain kind of life(ndoa) kwasababu gani? Yo desparate,umri unakutupa,jamii inakusakama,nawe wataka harusi,fulani nae kaoa/kaolewa,au???
Hapo lazima ufake tu, haya mambo yawe natural ili ujue unaingia ktk maisha ya ndoa na fulani ambae nae yuko tayari kama wewe(nae awe real).
 
Hivi wanawake mnachagua mnayempenda na mkapendana au mnaangalia tu muoaji...ufafanuzi pliz
 
Back
Top Bottom