Unaposoma bibilia tumia akili! 😎 Ona. 👇

Unaposoma bibilia tumia akili! 😎 Ona. 👇

Sidhani kama ni hivyo!
Kuzini kunatokana na tamaa kama vile kuiba kunavyotokana na kutamani,Amri10.
Kuzini ni tendo la mme/mke aliye katika ndoa kuchepuka.
Hapa ninachokilenga siyo huo msamiati (kuzini, tendo la ndoa n.k), bali kitendo cha mwanaume kukutana kimwili.

Weka pembeni kubaka.
 
Ungekuwa na welewa wa kisomi ungetambua kwa jibu lako hili uneji-contradict tayari. Yaani wewe TLS akikuhoji unekwisha, Afadhali amhoji huyu Polisi aliekufa akafufuka kuja kutoa ushahidi!
Mkuu, hujaelewa ninachomaanisha.
 
Attachments

  • 2026_07_27_13.47.35.jpg
    2026_07_27_13.47.35.jpg
    63.9 KB · Views: 8
Yes. Hata mimba ikiingia siyo kosa. Kosa ni kushindwa kumhudumia huyo mtoto atakayezaliwa.
Hapana sikubaliani na dhana hiyo. Hapo utakuwa umetenda makosa mawili:
1. Umezini ilhali Mungu ameamrisha Usizini
2. Umeshindwa kumhudumia mtoto wako ilhali Mungu amesema (kupitia Wakolosai 6:4) na pia ni kuvunja amri ya 4 ya Mungu isemayo Waheshimu baba na mama yako upate miaka ........ i.e. Inakuwaje wewe hau-uheshimu ubaba wako au u-mama wako? Mtoto kakusoea nini? Imenenwa katika amri kuu ya mapendo "Mpende binadamu mwenzako kama unavyojipenda mwenyewe (Marko 12:31, Mathayo 22:39)....
 
Kama kuzini ni kosa mbona mtoto anayepatika kutokana na mchakato wa kuzini sisi walokole tunampenda?
 
Sasa waliposema usizini walimaanisha usipate magonjwa n maswala maegine ya kiroho
Sio magonjwa tu broo; ni pamoja na kuuhatarisha Uhai wako. Ukifumaniwa waweza kuuawa au kujeruhiwa na ukapata kilema cha maisha au kufungwa jela e.g. kwa mtoto wa shule ni miaka 30+. Chagua mwenyewe.
 
Nilijua tu Kwa vyovyoye vile walokole msingependezwa na hili andiko langu. Synthesizer ameshaanza kunirushia ballistic missiles.
Hapana, mie nataka tuelewane tu taratibu. Umesema, Biblia ikisema usizini ni kwa sababu haitaki watu kuzaa ovyo ovyo.

Ndio maana nikauliza, kwa hiyo kuzini na mwanamke ambae unajua hatazaa kwa sabau ameondoa kizazi sio tatizo Ki-Biblia? Sasa hapo nimerushaje missile? Nataka tu ufafanuzi wako
 
Sio magonjwa tu broo; ni pamoja na kuuhatarisha Uhai wako. Ukifumaniwa waweza kuuawa au kujeruhiwa na ukapata kilema cha maisha au kufungwa jela e.g. kwa mtoto wa shule ni miaka 30+. Chagua mwenyewe.
Hapa sasa umenena. Ndiyo maana nimesema bibilia isomwe kwa akili.
 
Kweli kabisa mkuu. Kuzini kungekuwa kosa basi mtoto apatikanaye kwa njia ya kuzini moja kwa moja angekuwa haramu.

Hivyo, kuzini si kosa, kosa ni kushindwa kumhudumia mtoto aliyetokana na matokea ya kuzini kwako.

Walokole tubadilike bhana!
kama kuzini siyo kosa unamaanisha hata mke wa jilani unapita naye umzaa mtoto mkamlea safi hapo hukuna dhambi

Au nini maana ya neno "KUZINI"
 
Kama kuzini ni kosa mbona mtoto anayepatika kutokana na mchakato wa kuzini sisi walokole tunampenda?
Sio walokole tu mnayempenda. Sote; Mtoto kama mtoto anapendwa na watu wote japokuwa Jamii inambandika majina mabaya e.g. eti ni Mtoto haramu. (Bustard) lakini hilo lisikupe shida kwani hata hao wanaonekana kama watoto halali wanaegemea na kulindwa na ule msemo potofu kwamba eti Kitanda hakizai Haramu. Lakini kwa upande ukifuatilia e.g. DNA zao biological father wao kiukweli sio huyo wanayemwita baba kwa sasa. Inaweza kuwa Baba huyo alibambikiziwa mimba.
 
Hapana, mie nataka tuelewane tu taratibu. Umesema, Biblia ikisema usizini ni kwa sababu haitaki watu kuzaa ovyo ovyo.

Ndio maana nikauliza, kwa hiyo kuzini na mwanamke ambae unajua hatazaa kwa sabau ameondoa kizazi sio tatizo Ki-Biblia? Sasa hapo nimerushaje missile? Nataka tu ufafanuzi wako
Kuzini na mwanamke yeyote yula siyo kosa. Ila kilicholengwa (kilichofumbwa) pale ni athari hasi ambayo inaweza kumpata mtu baada ya kufanya mapenzi.

Athari hisi zinazotokana na kuzini ni kupachika mimba zisizotarajiwa ambapo baadaye mtoto anazaliwa na yawezekana akakosa matunzo, ugonjwa n.k.
 
Back
Top Bottom