Unaposoma bibilia tumia akili! 😎 Ona. 👇

Unaposoma bibilia tumia akili! 😎 Ona. 👇

J2 iliyopita kanisani kwetu tulishiriki sakramenti ya meza ya Bwana, tuliponyeshwa divai mm sikuimeza, niliihifadhi mdomoni kisha nikaenda chooni kisha kutumia divai kupigia nyeto.

Ah kudadeki sijawahi kupiga bao tamu kama lile 🙌 hakika bwana alikuwa pamoja nami 😎
Skramenti hilo neno sijawahi kuliona kwenye Biblia..linakaa na kutokea wapi??!
 
Nanukuu hii: "Kuzini na mwanamke yeyote yula siyo kosa".
Mkuu mbona imesha-Amriwa na Mungu mwenyewe Usizini? Tafuta maana halisi ya Kuzini = Kufanya tendo Takatifu la ndoa nje ya ndoa au na mwanamke/mwanaume asiye mke wako/Mume wako. Unafanya tendo Takatifu la ndoa hovyo-hovyo bila utaratibu uliokubalika na Mungu au Kijamii.
Binadamu nitofauti sana na wanyama(Hayawani)kwani kiuhalisia(Biological) wanyama huwa sexually aroused inapofikia kipindi cha kuzaa tuu.Tafauti na hapo jike haruhusu dume kumpanda. Kwa binadamu tumeenda mbali zaidi na kutopea mno kwenye kosa hadi kutusababishia kutenda dhambi nyingine i.e. kuzalisha dhambi e.g. Kutoa mimba yaani KUUA simply eti hukuitarajia mimba hiyo na tunajizima data kwamba ulikuwa hujui matokeo ya kitendo hicho na huyo mtoto-mimba sio binadamu cjui ni kama kitufe fulani/uvimbe tumboni. Mungu atusamehe sana.
Kujamiiana(Sexual intercourse) au kufanya Tendo la ndoa na mke wako ndo halali kabisa na linahimizwa ili kudumisha Upendo ndani ya Ndoa bila kujali itapatikana mimba au vinginevyo i.e. Tendo litapelekea kutungwa kwa mimba au la).
Tendo Takatifu la Ndoa linakuwaje tena ni Dhambi..!!!?
 
Narudia tena. Ukikubaliana na mtu kufanya mapenzi siyo kosa. Usibake au usimshawishi mtoto mdogo ambaye hajajitambua .
 
Mlokole mwenzangu sikiliza!

1. Bibilia inaposema , "usizini", inawataka watu wasizae watoto hovyo hovyo ili waje kuteseka duniani bila matunzo. Bibilia haisemi kazini/kujamiiana ni kitu kibaya bali inakuambia kuzaa watoto usioweza kuwalea ni kosa maana watateseka. Amri hii imewekwa ili kuwafanya watu wasizae kama simbilisi.

2. Bibilia inaposema, "usitamani Mali ya mtu mwingine", haikumaanisha kuwa kutamani ni kitu kibaya, bali inajaribu kukuambia kuwa ukitamani kitu cha mtu unaweza kukiiba au kikipokonya na hatimaye utakamatwa na utapigwa au kuuawa kabisa.

3.....

Hivyo, soma bibilia kwa kutumia akili na siyo kuikariri tu kama kasuku.

bwana yesu asifiwe!
Isaya 5:20
"Ole wao wasemao kwamba uovu ni wema, na kwamba wema ni uovu; watiao giza badala ya nuru, na nuru badala ya giza; watiao uchungu badala ya utamu, na utamu badala ya uchungu" 😂

Je kitu ni kibaya kwa kuwa Mungu alizuia, au Mungu alizuia kwa kuwa anajua kuwa kitu hicho ni kibaya?

Umekimbilia kwenye suala la uzazi husio na mpangilio. Ila unatetea uzinzi. We endelea kuzichakata, ukipigwa tukio unarudi na nyuzi za kwanini Mungu anawaona watu wake wanateseka!
 
😂😂😂
 
Chai
Mlokole mwenzangu sikiliza!

1. Bibilia inaposema , "usizini", inawataka watu wasizae watoto hovyo hovyo ili waje kuteseka duniani bila matunzo. Bibilia haisemi kazini/kujamiiana ni kitu kibaya bali inakuambia kuzaa watoto usioweza kuwalea ni kosa maana watateseka. Amri hii imewekwa ili kuwafanya watu wasizae kama simbilisi.

2. Bibilia inaposema, "usitamani Mali ya mtu mwingine", haikumaanisha kuwa kutamani ni kitu kibaya, bali inajaribu kukuambia kuwa ukitamani kitu cha mtu unaweza kukiiba au kikipokonya na hatimaye utakamatwa na utapigwa au kuuawa kabisa.

3.....

Hivyo, soma bibilia kwa kutumia akili na siyo kuikariri tu kama kasuku.

bwana yesu asifiwe!
Chai
 
kosa nikitendo /tendo ambalo ukilifanya utakuwa umeenda kinyume na misingi au talatibu za kibinadamu
Ohh! Kwa mujibu wa definition yako, ni kosa kupita na mke wa jirani yako.
 
Majibu kutoka kwa jamaa yangu wa karibu,kasema wewe ni MUONGO😂ona...
Screenshot_20260812-155348.png
Screenshot_20260812-155359.png
 
Common sense ni kipaji ambacho walokole wengi walishaamua kukiweka pembeni.
Mkuu, sio kama waliamua kuweka pembeni ila ipo hivi, kitendo cha kuwa mlokole maana yake yake unachukua akili yako timamu unampa mtu mwingine anakuendeshea huku wewe ukibaki unatumia maji pekee kichwani.
 
Naheshimu mawazo yako comrade ila umeingia chaka kuna hule msemo .....mfichie maana mwache mwerevu afumbue maana"
 
Back
Top Bottom