Unaposoma bibilia tumia akili! 😎 Ona. 👇

Unaposoma bibilia tumia akili! 😎 Ona. 👇

Ohh! Kwa mujibu wa definition yako, ni kosa kupita na mke wa jirani yako.
mkuu si umesema kuzini siyo dhambi bali kosa ni kuzaa watoto ukashindwa kuwalea wakabaki wanazagaa hapo unamaanisha yoyote mtakaye kubaliana naye na kufanya uzinifu siyo dhambi dhambi itatokea endapo mtazaa na kushindwa kumlea mtoto
 
Kama jamii imesema ni kosa kufanya mapenzi na mke wa mtu basi usifanye hivyo maana jamii itakuona mwenye makosa.

Tafadhali mkuu, usifanye mapenzi na mke wa mtu, unauawa!
 
Kama jamii imesema ni kosa kufanya mapenzi na mke wa mtu basi usifanye hivyo maana jamii itakuona mwenye makosa.

Tafadhali mkuu, usifanye mapenzi na mke wa mtu, unauawa!
mbona unanitisha mkuu hapa kuna mke wa mtu mumewe kasafili asa tangu asafili simu haziisha mwisho uzalendo umenishinda kwa hiyo kesho nilikua na appointment naye asa ulivyosema kuuawa umenitia wasiwasi
 
1. Bibilia inaposema , "usizini", inawataka watu wasizae watoto hovyo hovyo ili waje kuteseka duniani bila matunzo. Bibilia haisemi kazini/kujamiiana ni kitu kibaya bali inakuambia kuzaa watoto usioweza kuwalea ni kosa maana watateseka. Amri hii imewekwa ili kuwafanya watu wasizae kama simbilisi.
Unajaribu kutafuta namna ya kuhalalisha mwenendo haramu. Bible haikatazi kujamiiana in general terms. The Bible is very specific about this. Inakataza kujamiiana nje ya ndoa (adultery). Kuzini maana yake ni kujamiiana na mtu ambaye sio mkeo au mmeo. Hapa at least mmoja wa wahusika ni mtu ambaye yuko ndani ya ndoa halali.

Katazo la kujamiiana nje ya ndoa linahusu pia uasherati (fornication). Uasherati unatokea pale ambapo wahusika wote wawili ni waseja (i.e., hawako ndani ya ndoa yoyote halali).
 
Mlokole mwenzangu sikiliza!

1. Bibilia inaposema , "usizini", inawataka watu wasizae watoto hovyo hovyo ili waje kuteseka duniani bila matunzo. Bibilia haisemi kazini/kujamiiana ni kitu kibaya bali inakuambia kuzaa watoto usioweza kuwalea ni kosa maana watateseka. Amri hii imewekwa ili kuwafanya watu wasizae kama simbilisi.

2. Bibilia inaposema, "usitamani Mali ya mtu mwingine", haikumaanisha kuwa kutamani ni kitu kibaya, bali inajaribu kukuambia kuwa ukitamani kitu cha mtu unaweza kukiiba au kikipokonya na hatimaye utakamatwa na utapigwa au kuuawa kabisa.

3.....

Hivyo, soma bibilia kwa kutumia akili na siyo kuikariri tu kama kasuku.

bwana yesu asifiwe!
Hapa mkuu hata AI atakucheka
 
Back
Top Bottom