Unaposoma bibilia tumia akili! 😎 Ona. 👇

Unaposoma bibilia tumia akili! 😎 Ona. 👇

Ushaanza kupotosha watu

Usizini wala usifanye uasherati.... ichukulie kama ilivyo acha kupotosha ni kumosea Mungu

Unaweka maneno kinywani mwake

Proverbs 13
New International Version
13 A wise son heeds his father’s instruction,
but a mocker does not respond to rebukes.

2 From the fruit of their lips people enjoy good things,
but the unfaithful have an appetite for violence.

3 Those who guard their lips preserve their lives,
but those who speak rashly will come to ruin.

4 A sluggard’s appetite is never filled,
but the desires of the diligent are fully satisfied.

5 The righteous hate what is false,
but the wicked make themselves a stench
and bring shame on themselves
 
Mlokole mwenzangu sikiliza!

1. Bibilia inaposema , "usizini", inawataka watu wasizae watoto hovyo hovyo ili waje kuteseka duniani bila matunzo. Bibilia haisemi kazini/kujamiiana ni kitu kibaya bali inakuambia kuzaa watoto usioweza kuwalea ni kosa maana watateseka. Amri hii imewekwa ili kuwafanya watu wasizae kama simbilisi.

2. Bibilia inaposema, "usitamani Mali ya mtu mwingine", haikumaanisha kuwa kutamani ni kitu kibaya, bali inajaribu kukuambia kuwa ukitamani kitu cha mtu unaweza kukiiba au kikipokonya na hatimaye utakamatwa na utapigwa au kuuawa kabisa.

3.....

Hivyo, soma bibilia kwa kutumia akili na siyo kuikariri tu kama kasuku.

bwana yesu asifiwe!
Kwa tajiri kuingia ufalme wa mbinguni ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.
 
Ushaanza kupotosha watu

Usizini wala usifanye uasherati.... ichukulie kama ilivyo acha kupotosha ni kumosea Mungu

Unaweka maneno kinywani mwake

Proverbs 13
New International Version
13 A wise son heeds his father’s instruction,
but a mocker does not respond to rebukes.

2 From the fruit of their lips people enjoy good things,
but the unfaithful have an appetite for violence.

3 Those who guard their lips preserve their lives,
but those who speak rashly will come to ruin.

4 A sluggard’s appetite is never filled,
but the desires of the diligent are fully satisfied.

5 The righteous hate what is false,
but the wicked make themselves a stench
and bring shame on themselves
Dah!
 
Mlokole mwenzangu sikiliza!

1. Bibilia inaposema , "usizini", inawataka watu wasizae watoto hovyo hovyo ili waje kuteseka duniani bila matunzo. Bibilia haisemi kazini/kujamiiana ni kitu kibaya bali inakuambia kuzaa watoto usioweza kuwalea ni kosa maana watateseka. Amri hii imewekwa ili kuwafanya watu wasizae kama simbilisi.
Nikuulize swali maana naona umeamua kujiondoa akili. Vipi kuzini na mwanamke ambae ameondoa kizazi, Biblia inasema ni sawa?
 
Kweli kabisa mkuu. Kuzini kungekuwa kosa basi mtoto apatikanaye kwa njia ya kuzini moja kwa moja angekuwa haramu.

Hivyo, kuzini si kosa, kosa ni kushindwa kumhudumia mtoto aliyetokana na matokea ya kuzini kwako.

Walokole tubadilike bhana!
Hebu fanya mapitio upya(Review):
1. Kuzini ni kuivunja Amri ya sita ya Mungu kwa makusudi isemayo- Usizini i.e.ni Amri ya Sita kati ya Amri Kumi za Mungu. Amri hii inakataza tendo la ndoa nje ya ndoa halali kati ya mume na mke. (Kutoka 20:1-17)
2. Kujamiiana (kufanya tendo takatifu la ndoa)ni kutimiza maelekezo ya Mungu yasemayo: Nendeni mkazaane na kuitiisha nchi.(Mwanzo 1:28).
Hitimisho: Kufanya jambo lisilo kuwa ni Utaratibu ulowekwa na Mungu au kukiuka kwa makusudi maelekezo ya Mungu unakuwa umefanya dhambi.
Kwa hiyo zile amri kumi za Mungu, kuna wakati inahesabika ni dhambi na kuna wakati sio dhambi. e.g. imeandikwa "Usiue". Lakini askari vitani anaua watu na hahesabiwi kosa/dhambi. Mengine jiongeze mwenyewe.
 
Sidhani kama ni hivyo!
Kuzini kunatokana na tamaa kama vile kuiba kunavyotokana na kutamani,Amri10.
Kuzini ni tendo la mme/mke aliye katika ndoa kuchepuka.
 
Nikuulize swali maana naona umeamua kujiondoa akili. Vipi kuzini na mwanamke ambae ameondoa kizazi, Biblia inasema ni sawa?
Bibilia imejumuisha watu wote. Ingesema kuzini na mwanamke asiye na kizazi ni sawa watu wote wangeelewa lengo lake.
 
Ungekuwa na welewa wa kisomi ungetambua kwa jibu lako hili uneji-contradict tayari. Yaani wewe TLS akikuhoji unekwisha, Afadhali amhoji huyu Polisi aliekufa akafufuka kuja kutoa ushahidi!
 
Hebu fanya mapitio upya(Review):
1. Kuzini ni kuivunja Amri ya sita ya Mungu kwa makusudi isemayo- Usizini i.e.ni Amri ya Sita kati ya Amri Kumi za Mungu. Amri hii inakataza tendo la ndoa nje ya ndoa halali kati ya mume na mke. (Kutoka 20:1-17)
2. Kujamiiana (kufanya tendo takatifu la ndoa)ni kutimiza maelekezo ya Mungu yasemayo: Nendeni mkazaane na kuitiisha nchi.(Mwanzo 1:28).
Hitimisho: Kufanya jambo lisilo kuwa ni Utaratibu ulowekwa na Mungu au kukiuka kwa makusudi maelekezo ya Mungu unakuwa umefanya dhambi.
Kwa hiyo zile amri kumi za Mungu, kuna wakati inahesabika ni dhambi na kuna wakati sio dhambi. e.g. imeandikwa "Usiue". Lakini askari vitani anaua watu na hahesabiwi kosa/dhambi. Mengine jiongeze mwenyewe.
Hapa mwisho umehitimisha vizuri. Ndiyo maana nikasema bibilia Kuna miaka fulani umeweka ili watu wasitende kosa.

Kungonoka siyo kosa, kosa ni kumfanya kiumbe anayetokana na nngono ataabike.

Kutamani si kosa, kosa ni kupokonya Mali ya mtu baada ya kutamani.
 
Back
Top Bottom