bibilia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Unaposoma bibilia tumia akili! 😎 Ona. 👇

    Mlokole mwenzangu sikiliza! 1. Bibilia inaposema , "usizini", inawataka watu wasizae watoto hovyo hovyo ili waje kuteseka duniani bila matunzo. Bibilia haisemi kazini/kujamiiana ni kitu kibaya bali inakuambia kuzaa watoto usioweza kuwalea ni kosa maana watateseka. Amri hii imewekwa ili...
  2. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Katiba siyo bibilia au msaafu

    Kuna kahoja kanatumika na wajinga flani kwamba tukibadirisha katiba tunakuwa tunawadharau waasisi wetu. Kambarage mwenyewe alifanya hivyo mara kazaa ili katiba iendane maisha ya wakati ule. 1961, 1962, na 1977) pamoja na katiba ya mpito/ya muda (1964/1965), badala ya kuifanyia marekebisho...
  3. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Mods kitendo chenu cha kuzuia Post ya Mistari 135 ya nukuu za HAKI kwenye Bibilia ni cha kuuona ukiristu ni dini ya Uchochezi.

    Leo nikuweka Post inayohusu HAKI kwenye Bibilia kwa makusudi na nia ovu mkaiondoa, Bibilia si kitabu cha uchochezi kama mnavyodhani, ni kitabu Kitakatifu hivyo nukuu zake lazima ziheshimike kama zilivyo. Ninawashauri muirejeshe ile Post kwa heshima ya Wakiristu.
  4. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Kisa cha mwanamke kutokwa na damu kwa miaka 12 kinaleta mkanganyiko, sometimes bibilia inatakiwa iwe specific bhana!

    Kisa Cha mwanamke aliyekuwa anatokwa na damu kwa miaka 12 kinapatikana katika injili ya Mathayo 9:20-22, injili ya Marko 5:25-34, injili ya Luka 8:43-48 katika bibilia. Isivyobahati, Katika injili hizo zote, hatujaambiwa hizo damu zilikuwa zinatoka sehemu katika mwili wa mwanake, jambo...
  5. masai dada

    JamiiForums Tanzania Walokole kweli hii mistari huwa mnaisoma....au kudonoa donoa bibilia

    ikiwa ni jumapili tulivu kama calender ya KKKT inavyoelekeza hili neno la leo linanifikirisha sana na nimelijua zamani sana sema sasa labda uwenda tafsiri yangu ni tofauti lakini hamna kitu sikipendi kama kuomba kwa makelele napenda utaratibu na ukimya kwani najua Mungu atanisikia tu Mathayo...
  6. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Hivi yule aliyeandika 'mwanamke atazaa kwa uchungu' katika bibilia hakujua kuwa Kuna baadhi ya wanawake hawana kizazi?

    “Nitakuzidishia uchungu wako katika kuzaa; kwa uchungu utazaa watoto…” Huu ☝️ mstari wa bibilia huwa unanifikirisha mno wakuu, kwa maana unaubaguzi mkubwa. Wote wenye tatizo la utasa (wasio na kizazi) wameachwa nyuma na mstari huu wa bibilia. Huwa nalia sana ninapoutafakari mstari huu...
  7. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Bibilia wameficha sehemu Yesu alitamka Allah kama ndio Mungu wake

    Ukiisoma Injili zote ni sehemu Moja tu wandisha ndio wameandika Yesu akitaja jina la Mungu wake na Kwa mujibu wao alitaja hilo jina akiwa yupo msalabani Mathayo 27:46 Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona...
  8. God is Dead

    JamiiForums Tanzania Watu wa bibilia, tuumize kichwa kidogo

    Jacob said, Simeone and Levi are brothers Their knives are vicious weapons May I never enter their council May I never join their assembly, Simeone- Sheria, Levi- Dini Sheria na Dini, ni ndugu, Visu vyao ni silaha Kali, Mbona huku kwetu, Jacob anawaingilia Sheria na Dini, Kuna haja ya...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe hakuna Mkiristo aliehifadhi bibilia Bible

    Hadi leo hakuna hata mmoja alieihifadhi bible na sasa kuna bible ya lugha ya kimasai imepatikana Ethiopia ,ndio mtihani umezidi ,na kwa nini wazungu wengi sasa wanaukubali Uislamu na huko Ulaya makanisa ni matupu na yanapigwa mnada ,waislamu wanayanunua . Je ukirsto ni dini inayokufa ? Au ndio...
  10. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye elimu ya Biblia

    Habari ndugu zangu matumaini yangu ni kuwa mu wazima wa afya na kama kuna changamoto yoyote usikate tamaa ndio ubinadamu. Leo nilikua siko poa, na mara nyingi napokua katika situation kama hii napenda kusikiliza mziki au kusoma bibilia ili kurudi kwenye mood. Sasa leo katika kusoma kwangu...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Hivi mnajuwa hakuna waandishi wa vitabu walijiona wasomaji wa vitabu vyao kama waandishi wa vitabu vya dini

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza. Yaani hivi mwandishi wa kitabu yoyete mwenye kuijuwa kazi ya uandishi vizuri. Kitu cha kwanza anacho kifanya ni kujuwa walengwa au wasomaji wa kitabu chake ni watu wa aina gani? Kwa mfano ukiandika kitabu kwaajiri ya watoto, lazima...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Bibilia inasema "wanaume wote ni waongo"

    Tuishi nao kwa akili hawa viumbe ni waongo. Kati ya maneno kumi wanayoongea neno la ukweli ni moja tu au yote yanaweza kua ya uongo. Bibilia yenyewe imewanyooshea mikono inasema wazi wazi kua wanaume wote ni waongo. Miongoni mwa mistari hiyo ni Psalms 116:11 na Romans 3:4
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli maandishi yote kwenye Bibilia yaliandikwa kwanza kwenye nawe na iliwezekana?

    Mimi kama Mkristo, moja ya simulizi ni kuwa maandiko katika kitabi cha Bibilia yalianza kwa kuandikwa kwenye ngozi, mawe na mfano ni amrii kumi za Mungu kupitia Nabii Mussa. Tunaambiwa Mungu alishusha hizo amrita kwa Mussa na baadae zikaandikwa kwenye mawe na ndio hizi tunazisoma katika...
  14. sanalii

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kua Bibilia ndio kitabu kinachoongoza kwa maandiko ya ukatili?

    Katika uchambuzi, imeonesha kua biblia ndio kitabu kinachoongoza kua na maandiko yenye ukatili zaidi kuliko kitabu kingine chochote cha dini. Mungu wa kwenye biblia amekua akiamrisha mambo ya ukatili mkali. moja ya maandiko ambayo yanatumiwa hata na mayahudi wa sasa ni ule wa Samwel...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Oooh Malkia Athalia!

    2 Wafalme 11:1-17,19-21 [1]Na Athalia, mama yake Ahazia, alipoona ya kuwa mwanawe amekufa, akainuka, akawaharibu wazao wote wa kifalme. [2]Ila Yehosheba, binti wa mfalme Yehoramu, umbu lake Ahazia, akamtwaa Yoashi mwana wa Ahazia, akamwiba miongoni mwa hao wana wa mfalme waliouawa, yeye na...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kipi kitabu cha Mungu kwa wakati wetu huu kati ya Bibilia na Qur'an?

    Habari Wana jamii, nimeona mada nyingi zinazo husiana na iman zikileta changamoto na kuto kubalina katika njia zote mbili. Sasa naomba tutoe hoja Kila mmoja hapa kwanini tuseme BIBILIA ni KITABU CHA MUNGU na kinaongoza watu kwenda mbinguni na pia Qur' an ni KITABU chuamungu na kinaongoza watu...
Back
Top Bottom