Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 3,994
- 5,136
Nashauri tutumie vyote kwani ni muhimu katika mang'amuzi yetu.TUtumie akili au roho mtakatifu mkuu?
Nashauri tutumie vyote kwani ni muhimu katika mang'amuzi yetu.TUtumie akili au roho mtakatifu mkuu?
Kwangu bibilia ni kama vitabu vingine tu mkuu.Ndiyo kabisa; tena kwa kutulia kisawasawa. Usikurupikie mistari fulani fulani eti kwa kuwa ina maslahi kwako. Never.
Ushaanza kupotosha watu
Usizini wala usifanye uasherati.... ichukulie kama ilivyo acha kupotosha ni kumosea Mungu
Unaweka maneno kinywani mwake
Proverbs 13
New International Version
13 A wise son heeds his father’s instruction,
but a mocker does not respond to rebukes.
2 From the fruit of their lips people enjoy good things,
but the unfaithful have an appetite for violence.
3 Those who guard their lips preserve their lives,
but those who speak rashly will come to ruin.
4 A sluggard’s appetite is never filled,
but the desires of the diligent are fully satisfied.
5 The righteous hate what is false,
but the wicked make themselves a stench
and bring shame on themselves
Hakuna kitu kinachoitwa roho mtakatifu.TUtumie akili au roho mtakatifu mkuu?
Kosa ni nini? Tuanzie hapo.kama kuzini siyo kosa unamaanisha hata mke wa jilani unapita naye umzaa mtoto mkamlea safi hapo hukuna dhambi
Au nini maana ya neno "KUZINI"
Embu fafanua na ile kwamba ukimuangalia mwanamke kwa kumtamani tayari umezini nae bwashee nipo na picha ya Binti wa zamaniHakuna kitu kinachoitwa roho mtakatifu.
Sawa mkuu.Sio walokole tu mnayempenda. Sote; Mtoto kama mtoto anapendwa na watu wote japokuwa Jamii inambandika majina mabaya e.g. eti ni Mtoto haramu. (Bustard) lakini hilo lisikupe shida kwani hata hao wanaonekana kama watoto halali wanaegemea na kulindwa na ule msemo potofu kwamba eti Kitanda hakizai Haramu. Lakini kwa upande ukifuatilia e.g. DNA zao biological father wao kiukweli sio huyo wanayemwita baba kwa sasa. Inaweza kuwa Baba huyo alibambikiziwa mimba.
Mbona bibilia uliyo izungumzia inamtambua?Hakuna kitu kinachoitwa roho mtakatifu.
Hapo unatishiwa tu Kwa sababu wanajua ukishamtamani unaweza kumbuka ambapo ndo utakuwa umekosea.Embu fafanua na ile kwamba ukimuangalia mwanamke kwa kumtamani tayari umezini nae bwashee nipo na picha ya Binti wa zamani
Bibilia tunaielewa zaidi sisi tusiokwenda makanisani mkuu. Roho mtakatifu ni dhana ya uwongo ya kuwadanganya watu.Mbona bibilia uliyo izungumzia inamtambua?
Sio dhambi kumbe pia imekuaje YUDA akaitwa SELEMAN kwa zama izi?Hahaha 😂. Kama unaweza ni sawa tu.
Siyo dhambi mkuu.Sio dhambi kumbe pia imekuaje YUDA akaitwa SELEMAN kwa zama izi?
J2 iliyopita kanisani kwetu tulishiriki sakramenti ya meza ya Bwana, tuliponyeshwa divai mm sikuimeza, niliihifadhi mdomoni kisha nikaenda chooni kisha kutumia divai kupigia nyeto.Na vp kutumia maji ya upako kupigia nyeto Mbaga Jr
Eti utafute Pesa kwa Jasho lako Kisha uwagawie Maskini ..Wewe na Familia yako muanze kuteseka na kuwa omba omba!!!!??Unaposoma Biblia tumia akili, simple!
Ametwaaa jina lake..........J2 iliyopita kanisani kwetu tulishiriki sakramenti ya meza ya Bwana, tuliponyeshwa divai mm sikuimeza, niliihifadhi mdomoni kisha nikaenda chooni kisha kutumia divai kupigia nyeto.
Ah kudadeki sijawahi kupiga bao tamu kama lile 🙌 hakika bwana alikuwa pamoja nami 😎
sawaBibilia tunaielewa zaidi sisi tusiokwenda makanisani mkuu. Roho mtakatifu ni dhana ya uwongo ya kuwadanganya watu.
Nanukuu hii: "Kuzini na mwanamke yeyote yula siyo kosa".Kuzini na mwanamke yeyote yula siyo kosa. Ila kilicholengwa (kilichofumbwa) pale ni athari hasi ambayo inaweza kumpata mtu baada ya kufanya mapenzi.
Athari hisi zinazotokana na kuzini ni kupachika mimba zisizotarajiwa ambapo baadaye mtoto anazaliwa na yawezekana akakosa matunzo, ugonjwa n.k.
Ni sawa; ila biblia inacho cha ziada.Kwangu bibilia ni kama vitabu vingine tu mkuu.