Unapokaza kuomba kisha anapewa mwingine ambaye hata hakuomba.

Daby

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
33,648
75,732
Na wanawake mnafahamu fika hili huwa linatuuma zaidi ya kuuma. Daby unajitutumua kuomba kila siku na vizawadi vyako kila kukicha ila mwisho wa siku anapewa Asprin kiurahisi bila hata kutumia nguvu.

NB: mwanaume kama hili halijawahi kukuuma jichunguze.
 
Hahaha...na mademu wa hivi unakuwa unawapenda hatari.
 
Ile naomba vocha
Mwanaume unajitutumua unatuma unasubiri hata SMS tu ya ahsante. Dadeeeq hadi unaamua wewe ndo umcheki ile kumcheki unakuta
iko biz unatulia kidogo ile kumcheki tena unaskia
SAMAHANI MTEJA UNAYEMPIGIA ANAONGEA NA SIMU NYINGINE TAFADHALI SUBIRI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…