Unapojali watu...

mawazo yake potofu ndio yanayomfanya awaze upumbavu wake lakini wewe kama binaadamu una roho njema na akili zilizo sawa.mwambie ukweli kama haelewi tupa huko kwanini kukaa na mtu ambae haelewi.


Unathubutu kuita mawazo potofu na upumbavu wakati wenzio wanshinda kwa njia kama hizo hizo??

Naona wewe hutaki kumsaidia ED!!


Babu DC!!
 
Sawa kabisa ZD,

Naamini ED atasoma hapa....Yaani kama tu anakomaa wakati wote mko wazima kabisa...Imagine mmeshapata kama viroba vitatu...si itakuwa balaaa!!

Anyway..we men are special in the sector and that is our own profession!!

Babu DC!!

Hivi kweli Dark City mtu awe amelewa wanzuki halafu anishinde kweli inakuja??? Si namsukumia tu huko...Anakuwa hana nguvu..Nadhani unaelewa tofauti hapa...
Lakn huwa inanikera kupita maelezo hii tabia kwa kuwa mimi huwa napenda sana urafiki na wanaume kuliko wanawake..u men ur so selfish..
 
Last edited by a moderator:

Mbona mie naamini kinyume chake ndo sahihi ZD,

Mwanamume mkishaelewana na akajua vizuri kuwa maslahi yake hayajapewa kisogo....Ni marafiki wazuri sana kwa wanawake na wanaweza kuvumiliana ili mradi mipaka iwekwe, ieleweke na kuheshimiwa!

Babu DC!!
 
Unathubutu kuita mawazo potofu na upumbavu wakati wenzio wanshinda kwa njia kama hizo hizo??

Naona wewe hutaki kumsaidia ED!!


Babu DC!!
mkuu jambo lolote ambalo humuumiza mtu kihisia au kwa vyovyote ni potofu,halafu upotofu ninaouzungumzia hapa sio wa ED ni wa hao wanaoitafsiri vibaya roho njema ya ED.
 
Babu DC kama njemba ilidhani kufunguliwa moyo na ED ni kujilengesha basi ndio imeshapewa live kwamba urafiki wao uishie hapo ulipo na si zaidi. Kumbuka hawa wako ofisi moja. Huwezi kupewa bila kuomba lakini kuomba nako kuna mipaka yake hasa mkiwa ni waajiriwa wa muajiri mmoja vinginevyo itakula kwake halafu aanze kulia lia. Yule ED mtu mbaya sana kanisababishia ajira yangu imeota nyasi. Mambo ya uraiani ni tofauti na mambo ya kwa muajiri au njemba itaula wa choyo halafu ikose vyote, ED na ajira.

 

Nakubaliana na wewe ila naomba pia uelewe kwamba jamaa yuko mwelekeo sahihi...

Kama kaweza kumfanya ED alete huu uzi hapa, maana yake kamwathiri kifikra na kisaikolojia....

Hiyo disturbance inaweza kuleta matokeo hasi au chanya kwa wote....hata ikibidi kupoteza vyote ED na ajira...Lolote na liwe.....!! Ni jambo ambalo mjasiriamali yeyote hawezi kulikwepa.

Hata mimi kwa kweli ningejaribu bahati yangu...why not..?? kwani ukinyimwa ndo unakufa?

Babu DC!!
 
...Ukinyimwa hufi bana!!! Tangu lini aliyenyimwa anastahili kupoteza maisha!? lakini kama njema haitaki kuelewa somo basi ED yakimfika shingoni na kuanza kuathiri utendaji wake wa kazi basi hana budi kumtaarifu muajiri kile kinachoajiri pale ofisini kwake. Matokeo yake yanaweza yasiwe mazuri na hapo ndipo njemba itaelewa somo kwamba ukiwa kwa mwajiri kuna mipaka ya kupiga speed ukiivuka tu basi itakula kwako....Mambo ya uraiani tuyaache uraiani...kwa muajiri heshima mbele kama unaithamini ajira yako....Chezea ajira Babu DC!!!!

 
mkuu jambo lolote ambalo humuumiza mtu kihisia au kwa vyovyote ni potofu,halafu upotofu ninaouzungumzia hapa sio wa ED ni wa hao wanaoitafsiri vibaya roho njema ya ED.


Kwa nini unasema wanaitafsiri vibaya roho nzuri ya ED??

Hivi tungepata nafasi ya kuwasikiliza na kile kichowafanya wafikie hapo tungebaki na msimamo huu wa kuwalaumu?

Hawa ni watu wazima na siyo wehu...Hawawezi kufikia hatua hiyo kwa kukurupuka...Walipiga hesabu na kuona kuwa bora ltakalokuwa na liwe ila kieleweke!!

They also have the right to express their feelings. Au kwa kuwa hapa tunaongea na ED, basi wale jamaa wanakuwa ni wanyama bila hata kuwapa benefit of doubt??

Babu DC!!
 

Mwajiri yupi huyo unamwongelea BAK?

May be tuko dunia mbili tofauti.....

Kama ED akija kwangu kama Boss wake kushitaki....jibu langu linaweza kuwa simple tu....Kwani ukimpa jamaa kitumbua kitaisha kama kipande cha sabuni ya kufulia??

May be unaongelea waajiri wa dunia nyingine mbali na Bongo...Hapa Boss anaweza kukuwadia secretary wake na ukabeba mzigo!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Babu usibadilishe somo bana!!! ED hakuleta issue hapa ya kumhusu boss wake Babu DC bali rafiki yake ambaye wanafanya ofisi moja....usichanganye madawa. Hata baadhi ya waajiri wa Bongo siku hizi ni wa kutoka nchi za nje na sheria zao kuhusiana na mahusiano ya kimapenzi si za lelemama.

 
Haya bwana BAK,Mie pia ni mwajiri. Nitaomba siku moja niletewe kesi kama hiyo. Ila si ni wewe umesema kuwa ED anaweza kufikisha kesi kwa mwajiri?
 
Last edited by a moderator:
We Mentor kwani unadhani mtu akijua uko kwenye relationship ndio anaacha? ndio anakuwa kama motivated kuongeza juhudi

Noo it depends uko n a relationship na nani!
Kama ataona mwanaume mwenyewe wa ukweh..af we tok freq. n wit so much love ata yy mwenyewe lazima ajiulize mara mbili kabla hajaja.
Ila kama u hav a guy na humuongelei even once mbele ya wenzako, au ukimuongelea always ni kulalamika hapo unamfanya mwingine awe motivated kukuapproach believing ata fill the gap!
Which reminds me to think that, u r always so lonely n talk of how u v bin hurt before n how ts bin hurting..hivyo kuwafanya waone they can change the status quo of ur love life!
 
inaelekea ulimpa ma-hope sana huyo jamaa,urafiki na kujali sio lazima ujiachie complete..Unakuta m2 anamtreat friend wake sawa na mpenzi wake!wat do u xpect?learn 4rm ur mistakes..!ishi nae kirafiki atakata tamaa mwenyewe tofaut na hapo bas na we unampenda ila huna uhakika..!
 
simple and clear
 
wanaume wana tabia za kujiosha sana ukiwa karibu nae anaanza kusema unampenda kimapenzi unashindwa kumwambia! dada hawa viumbe wanapenda sifa sana, na mm ikitokea mwanaume namheshimu kama rafiki yangu afu akanitongoza akifikiri nampenda nashindwa kumwambia kuanzia hapo urafiki unaisha.kama sasa hivi ndo wamezidi kabisa mara ooh binti furani kanizimia una nini wewe au usharo ndo unawasumbua 2, akuzimie nani wewe una mavumba?
 

the biggest weakness to men, ni mwanadada kuonyesha tabasamu au kujali, men perceive as da sign of love which is wrong, even urafiki hawatengenezi....ndivyo tulivyoumbwa, ukinijali napercive tofauti kabisa, tofauti na mwanamke ukimpa kampani naye anadhani unampenda which is wrong
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…