Unapika chakula gani leo? Tupia picha ya chakula kikiwa tayari

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,112
Hello wapishi.

Leo ni siku ya sikukuu wa wenye imani ya dini ya Kiislamu, ila kwa kiwa sisi ni wamoja huwa tunasherehekea pamoja.

Sasa leo unapika nini siku hii? Tushirikishe kisha tupia picha ya msosi wa Idd hapa baadae.

Mimi nitapika pilau.

Idd Mubarack.
 
nov2015_a02_blobbycol.jpg
 
Back
Top Bottom