Unapenda watoto?

Unapenda watoto?

Na hapa ndipo ninawapigia salute wanawake, iwe mama ama beki 3, nina watoto zangu wawili sehemu wanampenda beki 3 kulikp chochote, mama yao anajitahidi lakini wapi, huyu wa chini ya mwaka kuna muda anagoma kulala, inabidi alale kwa dada yake kwanza ndio achukuliwe 😂, huyu mwingine miaka mi3 yeye akiamua anagoma, labda mie niwepo huko mdio anakubali kulala na mimi badala ya kwa dada yake...
Mtoto anajua anaempenda na asiyempenda. Upendo wa mtoto haudanganyi hata akikuchukia jua ni kweli na kuna kitu ulifanya akawa hivyo.😁
 
Msijali, ninalo toroli spesheli la kuwabeba mkilewa🤣
Umenikumbusha kuna baba mmoja nilikuwa naishi naye jirani, asubuhi sana kashaenda kukiwasha🫢 yani saa 7 tu kasharudishwa na wenzie kwenye toroli dahh! Apumzike kwa amani😥
 
Watoto n furaha katika maisha
Na hawa hapa ni furaha sio? 👇
FB_IMG_1766136717350.jpg
 
Sasa hivi naongea mwenyewe barabarani , hapo ana miaka kumi !
Daima watoto ni wazuri ila wanakuwa wazuri na wenye kuvutia wanaponkuwa wachanga, ila wakiisha anza kuhitaji mahitaji nje ya nyumbani kama ada, matibabu , garama za vifaavya shule, mavazi , nk mzazi wa kiume anapata cha moto kidogo.
Watoto ni gharama.
 
Hata kama wewe ni bilionea, bado haiondoi uhalisia kwamba ukipata watoto hawatoteseka... Anaweza kutekwa akateswa vibaya sana kisha akauawa au akaachiwa kilema.
Kuna ajali, magonjwa na sonona zisizo na sababu huku dunia nayo ikiwa ni mwamba unaoelea hewani pasipo na usalama wa uhakika.... Hivyo ukishagundua hili bora ule zako bata ukija kudanja usiache uzao nyuma/ufe na mbegu zako😄
Elon musk tajiri namba moja duniani, anasikitika mwanae mmoja amekuwa Shoga.

Yaani hii dunia acha tu.

Unaweza kuwa na pesa ndio. Unazaa watoto unawahangaikia kila kitu, mwisho wa siku wanakuja kuku disappoint vibaya mno.

Hadi unajuta kwa nini ulizaa!
 
NAdhani tuheshimu makubaliano ya wawili..

Hakuna geresha, nataka watoto nae anaelewa na tayari kanikuta nao wengi mnooo

Kifupi mzee wangu alikuwa na watoto 23, na juzi tumemjua mwingine, 24 hao,nataka nimfunike 🤣😂
Dahh siamini! Ila ni sahihi kama mna makubaliano!
 
Back
Top Bottom