Inabidi uamini tu 😂Dahh siamini! Ila ni sahihi kama mna makubaliano!
Huyo sasa ndio alijua kuitendea haki pombe🤣Umenikumbusha kuna baba mmoja nilikuwa naishi naye jirani, asubuhi sana kashaenda kukiwasha🫢 yani saa 7 tu kasharudishwa na wenzie kwenye toroli dahh! Apumzike kwa amani😥
Hivi unajua alikufa mwaka juzi na tukamzika🫢 babake young k..Huyo sasa ndio alijua kuitendea haki pombe🤣
Daah! Poleni sana.Hivi unajua alikufa mwaka juzi na tukamzika🫢 babake young k..
Thanks baby❤️🩹Daah! Poleni sana.
SafiiWaacheni watoto wadogo waje kwangu...
Nitumie ile picha ya kufuta macho kwanzaI really love my kids...💥
Napenda sana na namuomba Mungu nije nipate wanguUnavutiwa kua na mtoto /watoto?
Watoto wako wamebadili nini kwenye maisha yako?
Wameongeza nini kwenye maisha yako?
Mara nyingi mtoto akiwa mchanga huvutia sana
Namna alivyo na sura yake ya upole anaporusha miguu na mikono huku akikutazama huwa ni jambo la kupendeza sana kuangalia🤗
Mtoto akifika hatua ya kukaa chini, kucheka na kuonyesha yale mapengo yake madogo ya meno, huwa anavutia mno
Watoto wa umri huo wana namna ya kugusa moyo, especially anapokushika shavu na kutabasamu☺️
Na anapoanza kujifunza kutembea, vile anavyotembea, kuanguka kisha kuinuka tena, huwa ni raha kubwa sana kumuona
Kuna happiness ya kipekee ndani yake
Pia kuna feeling nzuri sana pale mtoto anapoanza kuita mama baba dada au jina lako
Kusikia mtoto anakutambua na kujua wewe ni nani kwake, huwa kunagusa moyo sana
Mimi binafsi hupenda sana kumbeba mtoto, kumkumbatia na kumbusu
Hali hiyo hunipa amani, utulivu na furaha ya ndani yaan nahisi msisimko ajabu
Mara nyingi nikimuona mtoto mdogo akiimba au akifanya kitu kizuri, huwa najikuta nikipata furaha mpaka machozi kunilenga
Kwa kifupi, napenda watoto sana
Huwa nawaona kama malaika wenye kuleta upendo, amani na utulivu
Dear children🥰 nyie ni kama maua yanavyochanua ndani ya bustani, like the sun rising and setting with its own beautiful light
Tabasamu lenu wakati mwingine huponya nafsi zilizochoka na kuleta peace ndani ya mioyo ya watu
I truly love children😍
Mna nafasi kubwa sana ndani ya moyo wangu 🤍
Wewe unapenda watoto?
Unatamani kupata watoto wengi?
Au huvutiwi kabisa na watoto?
Hahaa🤣😂 wanawake wa sasa nani wa kukuzalia watoto 5,6 huko?
Napiga na wanawake tofauti tofauti
Unavutiwa kua na mtoto /watoto?

Kwamba hutamuoa mtu mwenye zaidi ya miaka miwili, siyo? 🤔.Napenda watu kuanzia miaka 0-2
Iwe kama uombavyo kipenzi na upate uzao bora kwa mwanaume sahihiNapenda sana na namuomba Mungu nije nipate wangu
Safii mtoto unaecheza nae ni huyo kwenye avatarNikiwa na stress naenda kucheza na mtoto inanisaidia kupunguza kidogo
Kwelii eeeh🤣Hahaa
Wapo , wanawake wa kanda ya ziwa 🙌😁
Aisee labda awe na shida ila mzima tu, wanazaa mno
Nimeshangaa uliposema unapenda watu wenye miaka 0-2, maana yake aliyezidi hapo humpendi.Sielewi hata unazungumzia nini
Usiniingize zambini 🙌🫣🏃♀️