Joe Milla
JF-Expert Member
- Jul 28, 2014
- 1,507
- 2,661
Unaweza kuwafinya kwakweli, sema ndo watoto..unaruka nao hivyohivyo. Mbaya zaidi wakati wewe unahitaji kupumzika mwenzio kwake ndo kumekucha. Wapo ambao hawalalagi usiku yaan yeye akishtuka saa nne au tano usiku umeisha na wengine ni alfajiri ya kuanzia saa 10 au 11 asubuhi yeye ndo anaamka hasa hawa wa miezi kadhaa😀😀😀. Mtoto msumbufu ni rahisi kumgundua akiwa anaumwa / / au kapata tatizo lolote hata asipokwambia unajua mtoto hayuko sawa, anabadirika kabisa si kama ulivyomzoea so unajua hapa kuna kitu tu.Aisee wewe unawajua watoto vizuri wao hawajui kama mda huu sio wa kucheza
Mtu una majanga yako mtoto haelewi 🤣
Bibi apumzike kwa amani