Unapenda watoto?

Unapenda watoto?

Wanavutia sana lakini nikiwaza namna maisha yalivyo na mateso naogopa sana kuleta watoto duniani waje kuzunguka duara la michosho tulilozunguka sisi
Yaan kama unahisi kabisa hutakua nafasi ya kuwahudumia au kuwajali acha tu usiwalete

Lakin watoto mbali na kua wanaleta furaha na utulivu

Kuleta watoto duniani ni kama project dunia ili iwepo ni lazima watu wengine waje maana tuliopo lazima tutaondoka
 
Cchildren are lovely to be around, napenda sana watoto. They're pure and innocent. Mdogo wangu wa kike, anaweza kuniamrisha nifanye jambo la kijinga na nikafanya. Because I find myself taken by her beautyy
 
Yaan kama unahisi kabisa hutakua nafasi ya kuwahudumia au kuwajali acha tu usiwalete

Lakin watoto mbali na kua wanaleta furaha na utulivu

Kuleta watoto duniani ni kama project dunia ili iwepo ni lazima watu wengine waje maana tuliopo lazima tutaondoka
Hata kama wewe ni bilionea, bado haiondoi uhalisia kwamba ukipata watoto hawatoteseka... Anaweza kutekwa akateswa vibaya sana kisha akauawa au akaachiwa kilema.
Kuna ajali, magonjwa na sonona zisizo na sababu huku dunia nayo ikiwa ni mwamba unaoelea hewani pasipo na usalama wa uhakika.... Hivyo ukishagundua hili bora ule zako bata ukija kudanja usiache uzao nyuma/ufe na mbegu zako😄
 
Wanasema kuwa ukiwa na mtoto wa miaka 2 - 5 hivi, halafu akapotea kwenye uwepo wako na huko aliko akiwa kimya, ujue anafanya uchunguzi wenye uharibifu😀. Labda amepasua simu, anaharibu kitasa nk
Dah watoto bhana 😁😁
Na badai akikutwa anaweka kasura ka innocent 😅
 
Unavutiwa kua na mtoto /watoto?

Watoto wako wamebadili nini kwenye maisha yako?

Wameongeza nini kwenye maisha yako?

Mara nyingi mtoto akiwa mchanga huvutia sana
Namna alivyo na sura yake ya upole anaporusha miguu na mikono huku akikutazama huwa ni jambo la kupendeza sana kuangalia🤗

Mtoto akifika hatua ya kukaa chini, kucheka na kuonyesha yale mapengo yake madogo ya meno, huwa anavutia mno

Watoto wa umri huo wana namna ya kugusa moyo, especially anapokushika shavu na kutabasamu☺️

Na anapoanza kujifunza kutembea, vile anavyotembea, kuanguka kisha kuinuka tena, huwa ni raha kubwa sana kumuona

Kuna happiness ya kipekee ndani yake

Pia kuna feeling nzuri sana pale mtoto anapoanza kuita mama baba dada au jina lako

Kusikia mtoto anakutambua na kujua wewe ni nani kwake, huwa kunagusa moyo sana

Mimi binafsi hupenda sana kumbeba mtoto, kumkumbatia na kumbusu
Hali hiyo hunipa amani, utulivu na furaha ya ndani yaan nahisi msisimko ajabu

Mara nyingi nikimuona mtoto mdogo akiimba au akifanya kitu kizuri, huwa najikuta nikipata furaha mpaka machozi kunilenga
Kwa kifupi, napenda watoto sana
Huwa nawaona kama malaika wenye kuleta upendo, amani na utulivu

Dear children🥰 nyie ni kama maua yanavyochanua ndani ya bustani, like the sun rising and setting with its own beautiful light

Tabasamu lenu wakati mwingine huponya nafsi zilizochoka na kuleta peace ndani ya mioyo ya watu
I truly love children😍
Mna nafasi kubwa sana ndani ya moyo wangu 🤍

Wewe unapenda watoto?
Unatamani kupata watoto wengi?
Au huvutiwi kabisa na watoto?
Safi kabisa mwanakwetu ila umewaza nini leo rafiki yangu ?
 
Hata kama wewe ni bilionea, bado haiondoi uhalisia kwamba ukipata watoto hawatoteseka... Anaweza kutekwa akateswa vibaya sana kisha akauawa au akaachiwa kilema.
Kuna ajali, magonjwa na sonona zisizo na sababu huku dunia nayo ikiwa ni mwamba unaoelea hewani pasipo na usalama wa uhakika.... Hivyo ukishagundua hili bora ule zako bata ukija kudanja usiache uzao nyuma/ufe na mbegu zako😄
Kwanini una mawazo negative kiasi hicho?
Wazazi wako wangewaza hivyo hizo raha wewe ungezipondea wapi?

Wewe sema hivi sivutiwi tu na mambo ya kuzaa ila hizo sababu ulizotoa ni nyepesi sana

Wewe mwenyewe unaweza kua na mali zako wahuni wakakudaka wakakuminya na wakachukua kila kitu
 
Unavutiwa kua na mtoto /watoto?

Watoto wako wamebadili nini kwenye maisha yako?

Wameongeza nini kwenye maisha yako?

Mara nyingi mtoto akiwa mchanga huvutia sana
Namna alivyo na sura yake ya upole anaporusha miguu na mikono huku akikutazama huwa ni jambo la kupendeza sana kuangalia🤗

Mtoto akifika hatua ya kukaa chini, kucheka na kuonyesha yale mapengo yake madogo ya meno, huwa anavutia mno

Watoto wa umri huo wana namna ya kugusa moyo, especially anapokushika shavu na kutabasamu☺️

Na anapoanza kujifunza kutembea, vile anavyotembea, kuanguka kisha kuinuka tena, huwa ni raha kubwa sana kumuona

Kuna happiness ya kipekee ndani yake

Pia kuna feeling nzuri sana pale mtoto anapoanza kuita mama baba dada au jina lako

Kusikia mtoto anakutambua na kujua wewe ni nani kwake, huwa kunagusa moyo sana

Mimi binafsi hupenda sana kumbeba mtoto, kumkumbatia na kumbusu
Hali hiyo hunipa amani, utulivu na furaha ya ndani yaan nahisi msisimko ajabu

Mara nyingi nikimuona mtoto mdogo akiimba au akifanya kitu kizuri, huwa najikuta nikipata furaha mpaka machozi kunilenga
Kwa kifupi, napenda watoto sana
Huwa nawaona kama malaika wenye kuleta upendo, amani na utulivu

Dear children🥰 nyie ni kama maua yanavyochanua ndani ya bustani, like the sun rising and setting with its own beautiful light

Tabasamu lenu wakati mwingine huponya nafsi zilizochoka na kuleta peace ndani ya mioyo ya watu
I truly love children😍
Mna nafasi kubwa sana ndani ya moyo wangu 🤍

Wewe unapenda watoto?
Unatamani kupata watoto wengi?
Au huvutiwi kabisa na watoto?
Infropreneur njoo umsikie huyu dada anachokisema
 
Ukweli mtupu! Kuna muda nawaza ingekua inawezekana kumsindikiza mtoto kila anapoenda ili kumlinda na walimwengu ila ndo hivyo haiwezekani.
Na jinsi anavyozidinkuwa mkubwa ndo wasiwasi unazidi maana huwezi tena kumlinda. Unakuwa unawaza masaa yote sijui anafanya nini huko, je yupo salama yaani shida tupu
 
Back
Top Bottom