Unapenda watoto?

Unapenda watoto?

Raha ya watoto wakiwa wadogo, wakianza kufikia miaka 12 na kuendelea, utatoka mvi ndani ya wiki....
Sasa hivi naongea mwenyewe barabarani , hapo ana miaka kumi !
Daima watoto ni wazuri ila wanakuwa wazuri na wenye kuvutia wanaponkuwa wachanga, ila wakiisha anza kuhitaji mahitaji nje ya nyumbani kama ada, matibabu , garama za vifaavya shule, mavazi , nk mzazi wa kiume anapata cha moto kidogo.
 
Attachments

  • 2026_05_22_01.36.00.jpg
    2026_05_22_01.36.00.jpg
    122.4 KB · Views: 15
Sasa hivi naongea mwenyewe barabarani , hapo ana miaka kumi !
Daima watoto ni wazuri ila wanakuwa wazuri na wenye kuvutia wanaponkuwa wachanga, ila wakiisha anza kuhitaji mahitaji nje ya nyumbani kama ada, matibabu , garama za vifaavya shule, mavazi , nk mzazi wa kiume anapata cha moto kidogo.
Pole lakin kama hawana tabia mbaya
hizo gharama zitakoma na wataanza kujitegemea
 
Wanavutia sana lakini nikiwaza namna maisha yalivyo na mateso naogopa sana kuleta watoto duniani waje kuzunguka duara la michosho tulilozunguka sisi
 
Back
Top Bottom