Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,062
- 124,556
Watu wanaoreply comments zangu leo wana shida gani? Hapa uzi unaongelea watoto wewe unakuja na habari za kuoa. Kwa hiyo wewe unaweza kuoa mtoto mwenye miaka mingapi?Nimeshangaa uliposema unapenda watu wenye miaka 0-2, maana yake aliyezidi hapo humpendi.