Kibiolojia chupi c afya kwa wanaume!
wasiopenda kuvaa chupi bora wakae kimya
hii tambara c chupi!
Dah . . . .
Kuna chupi zingine humu zimewekwa, kama magunia vile!
Khaa!!
Hee...makubwa!
Biology ya wapi hiyo mkuu?
duh... me siku ya kwanza nilivaa nyanya pensi tu...
he. mwenzangu ulibakwa nini? mi niliifuga, nilipo haina msaada ikabidi nitafute wa kumtunukia
sikutaka usumbufu bidada!!!
ahsante my dia.me okey hofu kwako
Za bendera ya Chadema!
Unanidai Prado moja new model
Iwe ya rangi ya rangi nyeusi basi, si eti eeh!