Unapenda kuvaa chupi ya rangi gani?

hii
527722_113943218757682_310255029_a.jpg
 
Muda wa asubuhi,mchana na jioni napendelea nyeupe,light pink,red.
Usiku sitaki hata kuziona!!Napata hewa!!!
 
Hapa tunaongelea uvaaji wa chupi? Mi niliachaga zamani sana. Hapa msuli tu. APRin hebu niwekeemo picha
 
Last edited by a moderator:
Kaizer msuli na daladala utaaibika aise
Na hizi vaa za wadada unaweza shushiwa kipondo kwenye daladala
 
Last edited by a moderator:
rangi na aina ya chupi hua navaa kulingana na mazingira\ama nafanya nn kwa wakati huo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom