Unapenda kuvaa chupi ya rangi gani?

Unapenda kuvaa chupi ya rangi gani?

lens18949375_1322660850panties.jpg
sisi tunazungukzia chupi wewe unatuonesha gunia hapa.
 
BADILI TABIA kumbe we ni pacha wangu lolest! me hudhurungi,samawati na chanikiwiti. . . .
 
Last edited by a moderator:
Jinsia yako please.
Kuna siku boyfriend wangu alinijia na chupi nyekundu, akakosa mwana na maji ya moto

giLESi tafadhali huyo ni my huz. . . hebu ntake radhi kabla jogoo hajawika!
 
Last edited by a moderator:
Mi iwe bikini, boxer, g string au hata bukta napenda ziwe white.
Je wewe unapenda rangi ipi?

Boxer rangi ya jeshi
 

Attachments

  • Underwear_2.jpg
    Underwear_2.jpg
    9.4 KB · Views: 264
Back
Top Bottom