Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,701
wazee wa VAR😂😂😅😅
Tazama tena kwa mbaali😂😂
Naona nyumba, minazi,dstv,nguzo za umeme,njia, miti midogo,nyaya za umeme,mipapai n.k.
Naona Sobibor
Daah we ni noma aisee mi nilitoka kapa kabisa



Uzembe wa wenyeji wa eneo hilo kwa TANESCO



Kadogosa
kumbe lile group la IT wa mchongo la kuedit PICHA nawe upo mkuuVijana wa ovyo wa IT fb kumbe mpka humu pia mmo..?
bado utupostie mama sakina sasa![]()
kumbe lile group la IT wa mchongo la kuedit PICHA nawe upo mkuu
ha ha ha huwa linaniondolea stress
Vijana wa hovyo wananifurahishaga sanaView attachment 2440162


Nipo mkuu kule vijana wanenda na trending ikipita trending ya kuzoom challenge sjui itakuja trend ipi