Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,757
- 870,534
Nadhani kufanya kazi mochwari kuliniathiri sana.. Nilikuwa siogopi picha za kutisha.. Nilikiwa siogopi damu
Nilikuwa Niki post picha za kutisha halafu watu wakaogopa nilikuwa nawashangaa sana! Ila kwa kuheshimu hisia zao wakiniomba kuzifuta nilikuwa nafanya hivyo!
Sasa kuna hii hali inaniogopesha sana! Ule moyo mgumu wa kutoogopa chochote umetoweka kabisa..!
Nimekuwa mtu wa kuogopa chochote kinachoumiza moyo na kugusa hisia.. Nimekuwa mtu wa kuogopa kifo na wafu😭
Ninakwepa sana simulizi za kuvunja moyo na kuumiza hisia
Hii hali imenianza bada ya mauaji ya MO 29 na naamini siko peke yangu.. Zile shuhuda za wahanga nilizobahatika kuziona zinanipa shida sana usiku! Halafu nikiwaza kuna siku nitakufa ndio nachanganyikiwa kabisa!
Je kuna wengine wanakumbana na hii hali!? Kitaalam inaitwaje?