Unaolewa na hustler? Dishi limeyumba nini?

Unaolewa na hustler? Dishi limeyumba nini?

Sawa mkuu umenena vema. Lkn wanaume wa siku hizi wanahangaika hovyo. Anakuja kutulia na kuamua kuoa tayari yu takribani miaka 40. Sasa mwanaume wa hivi hata uwe na upako huwezi kumpushi mfike mahali mtoke kimaisha. Ni bora kwenda kwa aliyepiga hattua.

Idea yako ya kusaidiana ilikuwa inafanya kqzi miaka ya nyuma wakati vijana ktk umri wa miaka 18-20 walikuwa wakioana na kuanza safari ya maisha pamoja
In a way sikubaliani na mtizamo wako mtoto mzuri, ila napenda uwezo wako wa kujenga hoja! Big up sexless
 
Wewe si bure utakuwa mlemavu matiti yatakuwa yameota kwenye makalio badala ya kifuani inawezekana humo kichwani hamna ubongo kumeota magugu
hahahahahaha dadeki
 
We kama huwataki hao masikini wapo wanaowataka mpk wanawaendea kwa waganga!


"Tusipangiane!"-Yohana Mishahara
 
Ewe dada amka shoga yangu. Unaanzaje kuolewa na mlalahoi mwenzako? Tafuta mtu mwenye kukupa raha ya maisha; -mitoko ya nguvu, nyumba safi, usafiri poa, n.k. Siyo unaolewa na mjinga mjinga tu ana vyeti vya elimu ya juu lkn maisha ya chini. Unaambulia kuandikiwa meseji zenye maneno magumu ya kingereza tuu. Au unaolewa na mtu mwenye kifua cha mazoezi lakini hana kitu mfukoni. Huyu ataendeleza mazoezi yake kwenye mwili wako tuu.

Wenzako wakiolewa wanaenjoy eti wewe unajifariji kwamba hayo ndiyo mapenzi ya kweli. Mmh! Kweli? Unajisikiaje unapo olewa na hustler, unachakaa na kuzeeka kabla ya wakati kwasabb ya ugumu wa maisha?

Mara unakutana na classmate, choir-mate, au hata mpangaji mwenzio unakuta anazidi kuwa kijana wewe umepinda mgongo na miguu na unanuka uvundo kisa unataabika na mlalahoi anayekutesa na maisha magumu.

Eti unadanganywa tuanze maisha wote mpenzi wangu. Hii! Mkiyaanza maisha wakati mnananihino mtayakamilisha lini wakati mnaongeza shida kwa kuzaa watoto? Nenda kwa mtu mwenye maisha mazuri shosti. Acha uzwazwa.
-Umeolewa unapandishwa bodaboda ya kukodi?
-Umeolewa unaishi kwa baba mwenye nyumba?
-Umeolewa halafu mumeo ndo kwanza anatafuta kazi? Hana A wala B. Pole yako

Hivi unapokuwa unamkubalia mlalahoi wa dizaini hii unakuwa unawaza nini?

Au umevurugwa?

Wanaume masikini pishana nao round about.

HUHITAJI KUPENDWA, unapendwa na wazazi wako.
Huyu dada ana nyodo. Cjui kama ni mkali kiivyo.. Watoto wa tandale mtukome
 
Aliyekwambia Hustlers wote ni walalahoi nani...we vipi??
Hehehee mkuu siku zote unanifanya nicheke sana. ILa leo hilo povu cyo la kawaida[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Halafu hii tabia ya kudharau wanaume maskini sio nzuri kabisa...wewe sio mpangaji wa riziki maisha ni kutafuta mkuu, kwa hiyo usifikiri kila aliyeolewa na 'hustler' mwisho wake huwa mbaya.

Ajuae ya leo na kesho ni Mola mkuu
 
Mawazo yako hayawezi kua sawa na wasichana wote tanzania hii kila.mtu ana upeo wake wa maisha you can never change other people's mind...umeamua kuishi hivyo.ni wewe na wewe mana hata kufa utawekwa katika.jeneza lako mwenyewe kwaio dont get too stressed about your other fellow women how they live their life with their spouses ...nashangaa maisha haya mtu unaanza kufadhaika na maisha ya wengine wanayoishi..duh pole.
 
Halafu hii tabia ya kudharau wanaume maskini sio nzuri kabisa...wewe sio mpangaji wa riziki maisha ni kutafuta mkuu, kwa hiyo usifikiri kila aliyeolewa na 'hustler' mwisho wake huwa mbaya.

Ajuae ya leo na kesho ni Mola mkuu
Pengine yeye anajiona mungu ...
 
Hatukatai wazazi kukupenda ila wataweza kutuliza hisia za jinsia yako?.
 
Unawaza kuolewa na mwenye hela... Tafuta nawe zako uoe... Chako wewe
 
Malaya kwenye ubora wako. Na Ukipata UKIMWI njoo uandike na thread.
Usiwashawishi wenzio ujinga kuna mdada katoka kulalamika sasa hv kaambukizwa UKIMWI na mumewe ambae kimaisha yupo vizuri. Wanaume wenye Pesa wengi wao hufuatwa na Malaya km wewe ili wapate Pesa na kuambukiza UKIMWI waume wa wenzao
Shenzy
 
Malaya kwenye ubora wako. Na Ukipata UKIMWI njoo uandike na thread.
Usiwashawishi wenzio ujinga kuna mdada katoka kulalamika sasa hv kaambukizwa UKIMWI na mumewe ambae kimaisha yupo vizuri. Wanaume wenye Pesa wengi wao hufuatwa na Malaya km wewe ili wapate Pesa na kuambukiza UKIMWI waume wa wenzao
Shenzy
Do not be too harsh on her like that jamani!!
Alafu yule dada si kwamba mumewe alikuwa na pesa tangu wanaoana bali alikuja kuzipata baadae wakiwa tayari ndoani. Hao ndio wale malimbukeni ambao pesa huwablind na kusahau walikotoka.

Na sio kwamba kila mwenye pesa ni mbaya as people persive(nafikiri huwa tunasema hivyo kujifariji tu na umasikini wetu) ingekuwa hivyo basi ndoa za masikini zingekuwa na amani na furaha teleeee, but hali ni tafrani tu. Ndoa za masikini zinavunjika as well as za hao matajiri.
 
Mkuu, kabla ya kuleta hii mada hapa umeweza kujiuliza hata ratio ya wanaume matajiri kulinganisha na idadi ya wanawake wanaohitaji kuolewa? au ndo umeamua kutapika tu hapa..
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Back
Top Bottom