Unamkumbuka huyu?

Alivyotulia utafkiri sio yeye aliyefanya ule utumbo kule SAU.
Fide umemtoa wapi huyu?
 
Alivyotulia utafkiri sio yeye aliyefanya ule utumbo kule SAU.
Fide umemtoa wapi huyu?

Mnaomjua vizuri huyu dada mtakuwa mmewa tendea haki wana JF wasiomfahamu kujua ni kitu gani kiovu alichokifanya huyu binti. Comments za wanaomjua zinaonyesha alitenda madudu yasio takiwa katika jamii
 
Kama alipiga picha akiwa na kichupi kwa ajili yake kuna ubaya gani? Mbona mamiss wa Tanzania kila mwaka wanapita na vichupi na hakuna ubaya? Au kwa sababu bibie kajaza BATA wa kutosha nyuma basi iwe ni kisa cha kumshambulia hivyo na wale wanawake wanaoonekana kama Wanaume kwa mbali wala hamsemi neno?
Madudu gani hayo ambayo kwenu mnaona yanatisha? Labda tu kwa mwanafunzi wa chuo cha kidini haikuwa sawa ila kwa KITAIFA wala hakuna ubaya kwani sisi wote hapa tunafanya madudu ya kutisha zaidi ya hayo ya Nsia Swai.

Nikifungua kampuni basi Nsia Swai atakuwa kwenye Matangazo yetu ya kwanza.
TUACHE UNAFIKI NA nini zile alizisema Kikwete???
miss_tanzania_2007_800x600.jpg
Miss-Tanzania.gif


Hizo picha hamna tofauti kabisa na za Nsia Swai. Ila sema Nsia Swai yeye ana umbo la KIKE.​
 
FIDE
lete maana ya kumweka JF huyu dada maana najaribu kujumlisha namba zinakataa
 
Komredi simple wasiliana na wadau walio andaa mashindano ya miss Vodacom pale Arusha

Pouwa....ngoja niwatafute.

Ila komredi sijui ni nini tu...I have a thing for this girl...sijui ni yale mahips...sijui ni yale macho....mimi sijui bana.
 
Tangu hii JF ibadilishwe kuja hii advanced version sioni picha yeyote kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom