Unamkumbuka huyu?

Sasa Fide mbona husemi kitu chote chote? Mimi bado sijakuelewa . Ndio Nsia Swai alikuwa na umaarufu gani na sasa yuko wapi na anafanya nini?
Wengi tulikuwa mikoani baada ya kustaafu sasa tumekuja mjini tunasikia huku ukiwa na bongo noti unazipata reagrdless ya umri. Haya sema chacha.
 
nakufagilia kwa ajili ya memory yako...mimi toka ze nanihii ife na memory ikafutika ndio maana sijamkumbuka...au angekuwa hajavaa mavazi ningemjua maana nilizoea kumuona hivyo

hahaaaaaaaaaaaaaaaa lol!!! wakwetu we kiboko, umezoea kumuona 'natural' sio???!!!!
 
Majaji.jpg


Wakuu mnamkumbuka huyo dada mwenye blauzi pink?

huyu dada namkumbuka kwenye gazeti la udaku alishaandikwa sanaa akiwa uchi akiwa kitandani kama nimekosea niasaidieni!!
 
kuna kitu sijakielewa shem...huyu huko kafikajefikaje? au kuwa maarufu haijalishi umekuwa kwa mtindo upi...maana umaarufu wake huyu nae...mmhh

Alialikwa kwenye miss Voda kama jaji kutokana na umaarufu alio jizolea akala shavu.
 
Na waliomualika walikuwa na ajenda naye ya siri. lkn mtoto kaumbika ingawa sura amekosa hahahahahaha zile picha zake wakati wa Ze utamu jana tu hapa kwa ofisi watu walikuwa wanatumiana hahahahahahaha
 
Fani ya urembo aliianza long time angalia pozi lake hapahttp://4.bp.blogspot.com/_oUNxgUf0_Pg/SXCaDGa1O_I/AAAAAAAAAoY/3461C7QX0Fk/s1600-h/图片1.jpg



gademu afu katundika na rozari hapo pemebeni..............dah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom