Unamkumbuka huyu?

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,444
30nhdg1.jpg


Wakuu mnamkumbuka huyo dada mwenye blauzi pink?
 
shemeji usijali hiyo ni pink..najua mna upofu wa rangi...hivi huyo ni nani tena?
 
Huyu shemeji alikuwa maarufu sana Nsia Swai kala shavu kwenye ujaji hapo yupo mzigoni.

kuna kitu sijakielewa shem...huyu huko kafikajefikaje? au kuwa maarufu haijalishi umekuwa kwa mtindo upi...maana umaarufu wake huyu nae...mmhh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom