Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,569
- 10,527
Wewe hapa umefanya nini?ukiona you are above 35 na bado unapost JF jua unatatizo kubwa sana la msingi.
Wewe hapa umefanya nini?ukiona you are above 35 na bado unapost JF jua unatatizo kubwa sana la msingi.
Duh, mpaka kitu kimeenda mnaraMi sina kitu aisee namiliki papuchi tu
Nashauri usiongeze mke. Ongeza kampuni ingineNina Miaka 45.
Nina mke mmoja na watoto watatu. Nina kighorofa floo mbili hapa hapa Mapinga.
Nina Biashara zifuatazo
1. Nina duka la vipodozi hili analiendesha mke wang
2. Nina saloon ya kiume hii ni kwa matumiz madogo ya home
3. Nina kigari kidogo cha kuzugia Passo
4. Nina mashamba 50hekari
5. Mwakani naongeza mke wa pili
Mkuu, umesema!!!! Assets zinazakisha bhana, inategemea na aina ya assets ulizonazo na namba unavyozitumiaSawa inawezekana ila sio kwetu Tznia, angekua hajasoma mpaka level ya degree tugesema sawa......kwasababu vyote alivyo teja sijaona kitega uchumi kikubwa kilicho kuza kipato chake haraka vyote havizalishi ni assets tu.
Nashauri usiongeze mke. Ongeza kampuni ingine
Assets zake zote alizotaja hazizalishi kipato cha wa kika...vigari vinne vidogo ghorofa haijaisha, viwaja viwili, nk haviingizi kipato chochote.......angesema biashara yake eliomsaidia kupata hivyo ndo asseti kuliko hivyo.Mkuu, umesema!!!! Assets zinazakisha bhana, inategemea na aina ya assets ulizonazo na namba unavyozitumia
Umewafanyia jambo jema ndugu zako,kama hivo kumjengea mama, na kuwainua wadogo zako. SafiiKwan vp mkuu?
Mkuu unatafuta warembo kijanja ili uwabangue au sio, coz ukute uhalisia unamiliki kitanda na godoro tu.Nina 30, namiliki nyumba mbili moja ipo kibaha kwa mathias, nyingne ipo morogoro nane nane, nina gari nne (ranger nyeusi, harrier, noah , na spacio), sina mke, sina mtoto, sasa hvi najenga ghorofa moja kimara, nina mashamba ekari 22, nina biashara yangu kubwa tu ambayo inasogeza siku, ni machine za kusaga za kukoboa, nina viwanja viwili. Katika elimu nina degree moja, na sasa hv ninatarajia kusoma masters kwaajili ya sifa tu, si unajua sisi wahaya. Ni hayo tu.
Nina miaka 23.
Namiliki grupu la whatsapp la PachuPachu, Msingi Kiuno, na ZaUchiZoteHapa.
Nina sabwufa limeharibika sehemu ya flash na pini ya waya imekatikia kwenye tundu.
Nasikia nilikabidhiwa viwanja kijijini kwetu ila sijawahi hata kuviona na kwenda kijijini sitaki.
Nina wanawake wanne wa kudumu na watatu ni occasional.
Sina chumba wala nyumba nalala kwa rafiki yangu Dilongele.
Nina elimu kidogo ya form six.
Pia nina nyege.
umetisha mkuuI am only 13 Sir.Wewe hapa umefanya nini?
Hapana kuna majukumu yaliongezeka ikabidi nibaki ...
Party Nop but will call you somewhere...
Hongera sanaMimi nina miaka yangu 45
Nina mke na watoto wanne (Binti wawili na waume wawili)
Nina kigari kimoja cha kutembelea (Mark ll)
Nina kimini bus (Coaster Delux Box)
Nina kijumba hakijakamilika ujenzi wake, (on final touch stage)
Nina vyumba viwili vya biashara ya Nguo special za wanawake na watoto (anasimamia wife)
Nina, (hivi vingine nashindwa kuvitaja kwasababu ni vile minor things), kama 32" Sumsung Flat screen HD, 24" LG Flat screen HD
HP Laptop, HP Printer, Sony Radio, Sony Digital Camera 3, Sony MP3 Sub woofer, Kuku wa kienyeji na Bata (kwa ajili ya kitoweo)
Una utani sana wewe, badala ya kunipa Pole unanipa hongera !!Hongera sana