Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Hongera sana, usiache kumshukuru Mungu kila iitwapo leo kwa vyote hivyo alivyokujalia kumilikiUna utani sana wewe, badala ya kunipa Pole unanipa hongera !!
Hongera sana, usiache kumshukuru Mungu kila iitwapo leo kwa vyote hivyo alivyokujalia kumilikiUna utani sana wewe, badala ya kunipa Pole unanipa hongera !!
Swali la mtoa Mada lilikuwa linasema, Ulinganishe vitu unavyomiliki na Umri wako, hapa ndio panaleta taabu kidogo, Mimi ninamshukuru Mungu kwa kila jambo, But naona kama wewe hujasema ukweli ningeweza kuja hapo ulipo ili nijioneeHongera sana, usiache kumshukuru Mungu kila iitwapo leo kwa vyote hivyo alivyokujalia kumiliki
Nakuona m dauUsipige chenga tuambie unamiliki nini?
Usichanganyikiwe, huo ni utamaduni tu.Ndo maana ikalipiwa mahali hadi mamilioni na inaendelea kugharamiwa na kupambwa milele
Huh! Kumbe unamiliki Morogoro Road, basi ngoja nikanunue baiskeli ili niwe natesa nayo hapoNakuona m dau
Funguka 2 now namiliki barabara ya morogoro
Ukija ninapoishi utanionea huruma swahiba, similiki chochote zaidi ya hili lemba langu kichwani!Swali la mtoa Mada lilikuwa linasema, Ulinganishe vitu unavyomiliki na Umri wako, hapa ndio panaleta taabu kidogo, Mimi ninamshukuru Mungu kwa kila jambo, But naona kama wewe hujasema ukweli ningeweza kuja hapo ulipo ili nijionee
Nimecheka sana hapo mwishoNina miaka 23.
Namiliki grupu la whatsapp la PachuPachu, Msingi Kiuno, na ZaUchiZoteHapa.
Nina sabwufa limeharibika sehemu ya flash na pini ya waya imekatikia kwenye tundu.
Nasikia nilikabidhiwa viwanja kijijini kwetu ila sijawahi hata kuviona na kwenda kijijini sitaki.
Nina wanawake wanne wa kudumu na watatu ni occasional.
Sina chumba wala nyumba nalala kwa rafiki yangu Dilongele.
Nina elimu kidogo ya form six.
Pia nina nyege.
Unanichekeshaga sana Thad, maneno yakoUkija ninapoishi utanionea huruma swahiba, similiki chochote zaidi ya hili lemba langu kichwani!
,hongera una hata hilo lemba mamaIweee! Wahulirwa........ubakesye!Nina 30, namiliki nyumba mbili moja ipo kibaha kwa mathias, nyingne ipo morogoro nane nane, nina gari nne (ranger nyeusi, harrier, noah , na spacio), sina mke, sina mtoto, sasa hvi najenga ghorofa moja kimara, nina mashamba ekari 22, nina biashara yangu kubwa tu ambayo inasogeza siku, ni machine za kusaga za kukoboa, nina viwanja viwili. Katika elimu nina degree moja, na sasa hv ninatarajia kusoma masters kwaajili ya sifa tu, si unajua sisi wahaya. Ni hayo tu.
Yaani wewe mzigua hua nakupendaga sana .... nalipenda hili toto japo silifahamu, najua tu litakua zuri sana Mzigua90Ukitaka mke najitolea.
Apia
Kweli mzigua....
Sio mara ya kwanza kuzungumza hiri jambo..
Nakukubari muno we toto
Sasa utanifanya nisikupende. Hiri ndo nini?
Hili .... we mtoto wewe, najua tu lazima utakua mzuri sana. Hilo halina ubishi