Unamiliki nini katika Umri huu?

Tukiambiwa tuonyeshe mali zetu sijui utaanzaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji39] mi nahuja ombe[emoji125][emoji125][emoji125][emoji39]
😀😀😀😀😀😀😀
 
JF huwa patamu sana,kila mtu huwa ana pesa,viwanja, nyumba ,mke mzuri na elimu yake nzuri tu na kajiajiri ....Anyways mimi namiliki simu Tecno tu
Kila mtu kivipi mkuu mbona wapo wengi wapo broke na wamefunguka
 
Duh kweli kaka we muhaya upo vzr
 
Mimi namiliki majumba kama yote huko cheka u'ngatwe pia namiliki shamba la veve eka moja
 
Nijibu kwanza, unamiliki nini?
Mimi nina miaka yangu 45
Nina mke na watoto wanne (Binti wawili na waume wawili)
Nina kigari kimoja cha kutembelea (Mark ll)
Nina kimini bus (Coaster Delux Box)
Nina kijumba hakijakamilika ujenzi wake, (on final touch stage)
Nina vyumba viwili vya biashara ya Nguo special za wanawake na watoto (anasimamia wife)
Nina, (hivi vingine nashindwa kuvitaja kwasababu ni vile minor things), kama 32" Sumsung Flat screen HD, 24" LG Flat screen HD
HP Laptop, HP Printer, Sony Radio, Sony Digital Camera 3, Sony MP3 Sub woofer, Kuku wa kienyeji na Bata (kwa ajili ya kitoweo)
 
Mali pekee ulizo nazo ni hizi: kaduka ka mtaani kadogo; kagari kadogo ka kirikuu; na pikipiki ya kijapan used. Komaa navyo, ukiona kamoja kanachakaa, unanunua kengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…