Unamiliki nini katika Umri huu?

Unamiliki nini katika Umri huu?

Mie miaka 28 namiliki kiwanja kizuri, pia kipo karibu na watoto wakali. Mashamba kama yote namilik. Na mawazo ya biashara namiliki.
 
Miaka 25-40 unakaa kwenu huta hata godoro halaf unajichetua kuwa unataka mahusiano na mtu chefuuuuuuuuu kwa bbc haina dili, mambo yote abroad mambo ya usd shilling peleka gengeni huko

Tusamehe bure aliyekupa ndo katunyima
 
Mawazo yangu ya kipumbavu ni kwamba sihitaji kumiliki kitu kwani mda wangu wa kuishi ni mfupi . Labda maisha baada ya kifo nitamiliki .
 
Mimi mwamume umri 35,Namiliki wake wawili watoto wanne,vitanda 5 na godoro zake Sina nyumba sina gari sina kiwanja,sina kazi,sina pesa Natunzwa tu na wake zangu.Kwa sasa hivi natafuta mke wa tatu awe na miaka 30 anayejiweza.
Aisee
 
Nakumiliki wewe mwenyewe na hivyo ulivyotaja . Jina halijapelekwa kwa mkuu
 
Mie miaka 28 namiliki kiwanja kizuri, pia kipo karibu na watoto wakali. Mashamba kama yote namilik. Na mawazo ya biashara namiliki.
 
Kwa upande wangu similiki chochote sababu muda wowote ninachosema changu kinaweza kuwa kwa mwingine au sehemu nyingine.
Mfano simu unayoiita yako ikiibiwa utasema ni yako tena?
Ukipata ajali ukakatwa mkono utasema ni wako tena?
Me nipo tu mwenyewe i have nothing
 
Nina miaka 24 Nina mke mjamzito,namiliki vitu vyote vya ndani, ninajenga nyumba chamazi,pia Nina kiwanja kingine chanika,pia Nina somesha mdogo wangu Wa mwisho....
Na vitu vingine vidogo vidogo kama pikipiki aina ya TVs, Nk.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom